All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,564
wafute Sitting allowance au mshahara ndio nitaamini wako serious. Wachague kimoja kati ya sitting allowance na mshahara waache kimoja wapo.
Sasa kwa salary ukifuta watu wataishi vp sasa?
wafute Sitting allowance au mshahara ndio nitaamini wako serious. Wachague kimoja kati ya sitting allowance na mshahara waache kimoja wapo.
Sitting allowance ifutwe. Mshahara ukatwe PAYE na wachangie NSSF. Halafu kile kifuta jasho cha 250M baada ya miaka mitano nacho kifutwe. Tutaheshimiana tu
Bado za vikao vya bunge !
hivi hizi hatua za kukurupuka zinafuata economic impact assesment? kiuchumi sio vyema kubana matumizi, serikali inatakiwa kupanua wigo wa mapato. hiki kinachofanyika kina madhara kiuchumi. watu tunashangilia tu, but with time we will come to realize that it was nonsense. mnaozishangilia hatua hizi mtakuwa wa kwanza kulalama. ngoja tuone.
Jamani, hivi jk miaka yote 10 ikulu alikuwa anafanya nini? Wakati Magufuli siku 25 tu ameweza kufanya yote haya?

hivi hizi hatua za kukurupuka zinafuata economic impact assesment? Kiuchumi sio vyema kubana matumizi, serikali inatakiwa kupanua wigo wa mapato. Hiki kinachofanyika kina madhara kiuchumi. Watu tunashangilia tu, but with time we will come to realize that it was nonsense. Mnaozishangilia hatua hizi mtakuwa wa kwanza kulalama. Ngoja tuone.
Haswaa hapo ndipo penyewe pamoja na mishahara yao ikatwe kodi
hivi hizi hatua za kukurupuka zinafuata economic impact assesment? kiuchumi sio vyema kubana matumizi, serikali inatakiwa kupanua wigo wa mapato. hiki kinachofanyika kina madhara kiuchumi. watu tunashangilia tu, but with time we will come to realize that it was nonsense. mnaozishangilia hatua hizi mtakuwa wa kwanza kulalama. ngoja tuone.
hivi hizi hatua za kukurupuka zinafuata economic impact assesment? kiuchumi sio vyema kubana matumizi, serikali inatakiwa kupanua wigo wa mapato. hiki kinachofanyika kina madhara kiuchumi. watu tunashangilia tu, but with time we will come to realize that it was nonsense. mnaozishangilia hatua hizi mtakuwa wa kwanza kulalama. ngoja tuone.
hivi hizi hatua za kukurupuka zinafuata economic impact assesment? kiuchumi sio vyema kubana matumizi, serikali inatakiwa kupanua wigo wa mapato. hiki kinachofanyika kina madhara kiuchumi. watu tunashangilia tu, but with time we will come to realize that it was nonsense. mnaozishangilia hatua hizi mtakuwa wa kwanza kulalama. ngoja tuone.
hivi hizi hatua za kukurupuka zinafuata economic impact assesment? kiuchumi sio vyema kubana matumizi, serikali inatakiwa kupanua wigo wa mapato. hiki kinachofanyika kina madhara kiuchumi. watu tunashangilia tu, but with time we will come to realize that it was nonsense. mnaozishangilia hatua hizi mtakuwa wa kwanza kulalama. ngoja tuone.
mbeziboy...., kula 5 kwanza fastaaaa!
Miaka 5 kiinua mgongo 250 m! Mwl aliyeitumikia nchi kwa miaka 30 hapati hata 30% ya kiinua mgongo cha mbunge!!
Muda wa kula kwa jasho sasa hata kama bungeni kiyoyozi saa 24!!
hivi hizi hatua za kukurupuka zinafuata economic impact assesment? kiuchumi sio vyema kubana matumizi, serikali inatakiwa kupanua wigo wa mapato. hiki kinachofanyika kina madhara kiuchumi. watu tunashangilia tu, but with time we will come to realize that it was nonsense. mnaozishangilia hatua hizi mtakuwa wa kwanza kulalama. ngoja tuone.
wafute Sitting allowance au mshahara ndio nitaamini wako serious. Wachague kimoja kati ya sitting allowance na mshahara waache kimoja wapo.
Jamani, hivi jk miaka yote 10 ikulu alikuwa anafanya nini? Wakati Magufuli siku 25 tu ameweza kufanya yote haya?
Hapo sahau hatutakubali posho ifutwe
Acha ujinga ww hapo sahau hatutakubali posho ifutwe