VIDEO: Namna tunavyoharibiwa magari yetu

Kama mtoa mada upo Dar, hafu unanunua oil ya Total maduka haya ya mitaani Kariakoo sijui Sinza, nitakushangaa maisha.

Total kwenye Petrol Station zao wana sehemu ya Service ya kubadirisha oil. Kwa bei nzuri na oil yao genuine unapata oil change na mafundi wao wanakupa na ushauri juu.

Pia Puma baadhi ya vituo wana huduma hiyo.

Tatizo lipo kwa izi Oil kama Liquimolly ambazo ni imported. Ndio kidogo utata.
 
Kariakoo kuna maduka yapo vizuri mitaa ya Livingstone wanauza oil Safi Tu hata mitaa ya msimbazi karibu KFC kuna maduka wako vizuri Ila ukiingia shaurimoyo huku utapigwa Tu wahuni.
 
Back
Top Bottom