Msolid1990
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 144
- 50
Wakuu kwema?
Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo nilitaka kujua pia consumption yake ya mafuta highway iko vipi.
Siku ya Ijumaa niliweka full tank na nikatembea kama Kilomita 16 Mjini halafu kesho yake nikaanza safari hadi Mabibo kupitia Bagamoyo road. Baada ya kufika Dar nilipiga picha fuel gauge kama inavyoonekana hapo chini.
Sasa nikiangalia fuel gauge ni kama inanichanganya.
Wanasema fuel tank capacity ya premio ni 60L, ila mara nyingi nikiweka mafuta ya 50,000 mshale huwa unapanda hadi karibia na katikati sasa najiuliza ina maana hizo segments za fuel gauge haziko sawa? Kwamba Empty, robo, nusu, robo tatu na Full?
cha pili nachojiuliza ni nitajuaje sasa fuel consumption ya hii gari kulingana na hapa mafuta yalipofikia mwisho wa safari?
Jumla nilitembea kama 634km kutoka full tank hadi hapo mshale ulipofikia