Search results

  1. K

    natafuta kazi ya kujitolea arusha

    jamani mimi ni mwanafunzi wa udom nataraji kumaliza mitihani yangu wiki hii naomba kwa yoyote atakayeweza kunisaidia kupata kazi ya kujitolea mwezi wa 7 katikati hadi wa kumi anisaidie.ili niweze kupata uzoefu hasa kwenye maswala ya utawala,itifaki,na na organizations naweza kuzungumza...
  2. K

    mnyika muulize lema

    alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara mradi tu apate pa kula maana hali yake ki fedha sio nzuri sasa na wewe angalia maana kesi yako ipo...
  3. K

    mavazi na mitindo iliyo kwenye chat

    unaweza kuiona kupitia www.duniayamitindo.co.tz
  4. K

    Masaada jamani...!!

    Mwenzenu nimekuwa nasumbuliwa na maralia mara kwa mara japo huwa nalala na net na pia chumba huwa napulizia net yani kwangu haiwezi kupita hata wiki 6 bila kuuguwa
  5. K

    sababu za millya kuhamia chadema

    nimezipata kwamba kijana alipima upepo akajua mwaka huu hawezi tena kuukwaa uenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha ndo maana akasepa ili kuepuka fedheha
  6. K

    yatakayofanya nimkumbuke the great

    yatakayofanya nimkumbuke kanumba the great ni 1. Alipoenda kumtembelea mzee kipara wakati mgonjwa na kumpa msaada wa laki 1 huku akiwa ameambatana na lundo la waandishi wa habari kama hali ameenda kutoa milioni kumi 2.kiingereza chake ndani ya big brother africa 3.alivyojichubua akifikilia...
  7. K

    JamiiForums game of the year

    TUCHEZE GAME LINAITWA The last man standing. Yani unatuma comment kisha anaefuata anaanza na neno ulilomalizia. Kwa mfano: mtu akiandika, natamani kwenda mikumi anayefuata aanze na mikumi mf. mikumi ni tour inayofuata alaf inayofuata kuenjoy maisha inayofuata maisha hayana mwenyewe n.k...
  8. K

    Tujikumbushe Joshua Nassari na uchaguzi wa BAVICHA

    inasemekana alipata kura 2 sasa kama wanachama wenzake hawamuamini arumeru mnamuamini vipi?
  9. K

    wanafunzi wa udom watoa msaada wa vifaa vya usafi

    leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari viwahttp://issamichuzi.blogspot.com/2012/03/wanafunzi-wa-udom-wafanya-ziara-katika.htmlndani iliyopo mjini dodoma pia...
  10. K

    ujinga wa wazazi wengi tanzania

    wanazaa watoto wengi na hovyo hovyo ambao wanashindwa mpaka kuwahudumia matokeo yake wanakaa kulaumu hovyo oh maisha magumu nashindwa somesha familia kama wangekuwa wachache wasingelaumu
  11. K

    Maskini na chuki kwa Lowassa

    nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli watu ambao wanafaa kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa...
  12. K

    msaada plzzz

    kwa yoyote aliyepo mikumi pale mjini ani inbox
  13. K

    msaada kuhusu uchaguzi wa uzini

    chadema ilipata kura ngapi? Kati ya ngapi? Na je walitumia kiasi gani cha pesa kwenye kampeni? Padri slaa mbona hajatoa tamko mpaka leo?
  14. K

    msaada kuhusu mikumi national parks

    mimi na wanachuo wenzangu tumepanga mwisho wa mwezi huu tukatembelee mikumi national park kama sehemu ya kukuza utalii wa ndani naomba kwa mtu mwenye contact za huko anisaidie ili niweze kujua hasa gharama za hostel. Kwani nimejaribu kusearch kama wana website kumbe hawana,wanatumia ya TANAPA...
  15. K

    hey

    mambo vipi.?
Back
Top Bottom