mnyika muulize lema

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
311
65
alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara mradi tu apate pa kula maana hali yake ki fedha sio nzuri

sasa na wewe angalia maana kesi yako ipo mahakama ya rufaa now
 
Yaani siku ikitokea mataahira na vilaza wakaisha kwenye hii nchi mambo yatakuwa mazuri sana!
 
Wewe dogo ya chadema hayakuhusu na uyawezi kabisa.
Umesikia mambo ya simbachaawene uko singida?? Ayo ndo mambo ya ccm 4ur habari kafumaniwa na mke wa askari polisi kala panga kadhaa toka kwa uyo askari mpole, nadhani adhabu yake angemkata midomo yote miwili ili acheke milele.
Ati waziri wa nishati aya bwana ccm kwa vituko mara rushwa mara uasherati kumbuka igunga bw fedha wenu na sasa mh waziri uko singida
 
Tobaaaaa!!!!! Simbachawene huyu huyu wa ccm au?????......kweli nimeamini uzinzi ndilo wanaloliweza ccm......watu wanawaza ngono mda wote sa ngapi wataweza kuongoza nchi?
 
alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara mradi tu apate pa kula maana hali yake ki fedha sio nzuri

sasa na wewe angalia maana kesi yako ipo mahakama ya rufaa now

we ni barmed aliekosa wateja.
 
Ukweli ndio huo Mohamedi Mtoi .......kafumaniwa na mke wa askari huko singida
SimbaChawene nipo naye huku Mahoma Makulu kwa kina Francis Chove, Hii kali tena baada ya Kikao karukia Singida tena kwa Soldier na kacharangwa hii kali
 
Attachments

  • 004-3.jpg
    004-3.jpg
    25.9 KB · Views: 61
tatizo la watu wa ccm wanaingia kwenye siasa kuganga njaa, wanafikiri kwa matumbo, vichwa wanavitumia kwa masuala ya ngono, dhaifu sana.
 
SimbaChawene nipo naye huku Mahoma Makulu kwa kina Francis Chove, Hii kali tena baada ya Kikao karukia Singida tena kwa Soldier na kacharangwa hii kali

Chezeiya ccm Ukwaju?????....yakitokea mashindano ya uzinzi hawa ccm lazima waibuke kidedea.....afu ni mabingwa wa kuchukua wake za watu......na hawa police ndio wakome wanawalinda waheshimiwa, wanawaibia rasilimali zao afu mwisho wa siku wanatumia pesa za walipa kodi walizoiba kuchukulia wake za walalahoi mf police na yule aliyechukuliwa na Mwigulu!
 
Last edited by a moderator:
alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara mradi tu apate pa kula maana hali yake ki fedha sio nzuri

sasa na wewe angalia maana kesi yako ipo mahakama ya rufaa now

Kampeni Uchwara ? Una maana gani kusema maneno haya wewe ? Very sad unapoteza muda wako online na mawazo ya nguruwe haya .Chadema na namna ya kufanya mambo yao wewe ni nani hadi useme hayakupangwa ? Do you feel or sense the impact ya kampeni uchwara ? Do you Lema way back kabla hajawa Chadema how did he live maana hapakuwa na kampeni uchwara ? Mnyika anaishi kwa sababu ya Ubunge ?Alikuwa aniishi vipi kabla ya Ubunge ? Wewe kweli ni kinyesi chepezi unaishia hewani hata chooni hufiki .
 
Sasa wewe unamtishia mnyika?
Kweli wewe una akili za kitoto ata kama we ni kada wa ccm sidhani kama Nape ana kuunga mkono kutoa siri zenu hadhari kuwa huwa mnatumia mahakama kupokonya haki za watu,bora umetupa ushahidi mwingine kilaza.

Yan wewe hata hufai kutunza siri,kumbe huwa mnashinda mahakamani!

Nape angalia kijana wako alivyo wavua nguo hadharani.
 
Chezeiya ccm Ukwaju?????....yakitokea mashindano ya uzinzi hawa ccm lazima waibuke kidedea.....afu ni mabingwa wa kuchukua wake za watu......na hawa police ndio wakome wanawalinda waheshimiwa, wanawaibia rasilimali zao afu mwisho wa siku wanatumia pesa za walipa kodi walizoiba kuchukulia wake za walalahoi mf police na yule aliyechukuliwa na Mwigulu!
SWEETLADY jina lako tamu, unajua hawa watu huwa wanajilengesha wenyewe, maana CCM kuna maHandsome toka Mwenyekiti mpaka Simbachawene kwanini wasibabuliwe.
Na wasijaribu kesi ya ugoni, mm unikute nipo kwenye room Hotelini useme umenifumania, ww tulia endelea kulinda hapo getini,
samahani picha au avarter yako sijaiona lakini ulimi wangu si unauona ndo kz iliyobaki
hiyo picha hapo nidadavulie ni nani dhaifu na nani amelegea?
tutkutane ktk Mambo ya Kikubwa nikuongezee picha za wadhaifu
 
kwahiyo unachotaka kusema dogo CCM wanatumia madaraka kukandamiza upinzani? tulumbane kwa sera sna hoja siyo kwakutumia dola kukandamiza upinzani. 2015 CDM ndani ya mjengo na hatuta lipa kisasi ila mafisadi tutakula nao sahani moja tutahakikisha kila senti ya kodi ya mwananchi inarudi
 
Back
Top Bottom