Search results

  1. P

    Msaada jamani!

    Nisaidien jins ya kuconnect airtel internet kwenye simu!
  2. P

    Isongole boyz mpoo!

    Kama mpo hebu tupeana mashavu wana au vp? Me ni Edward wa Chuga npo hapa hapa xul 2taftane japo matcha wanaleta za kuleta khs 4ne!
  3. P

    Afrika hivi bila maandamano hamna haki?

    Yaan bara la Afrika kila jambo wanalolitaka hutumia njia ya maandamano hivi hamna kabisa njia nyingine ya kupata haki zao muda.hivi juzijuzi Misri maandamano tu! WHY THIS?
  4. P

    Jaman hebu nitoen ushamba!

    Hivi jaman jana yamenikuta ya kunikuta nikanyimwa hadi 2nda la kati eti kisa wakati nimenogewa na mashamsham ya maandaliz ya kuingia mchezon si nikatia kidole kwenye 2nda lenyewe WEE!! demu alianza kulia huku akinisukuma ntoke mbele yake,alichukua khanga akajifunga kisha akakaa pembeni huku...
  5. P

    Natafuta rafiki wa kike kutoka Mbeya

    Mi ni kijana wa miaka 20,natafta rafk wa kike kutoka Mbeya.sina vigezo yeyote yule who has no marriage! Mawasiliano ni 0757892547.
  6. P

    Jaman naomba ushauri wenu ili nipone!

    Mi ni kijana ninayependa kufanya mazoezi na pia mi ni mchezaji wa timu ya mpira wa miguu na nina mpenz ambaye amekuwa kikwazo kwangu kwani anapenda mda wote niwe naye hata muda wa kwenda zoezi na nikijaribu kwenda ananiambia," kama hayo mazoezi yana umuhimu zaid yangu we nenda na ukirud...
  7. P

    Isogole sec ipo mkoa gan?

    Wadau naomba mnisaidie kunitaarifu Isogole sec ipo mkoa gan na kama kuna mtu ana contact plz anisaidie,ntashukuru kwa msaada wenu!
  8. P

    Bangi ni noma jaman!

    Masela wawili wakiwa chini ya mwembe walivuta bangi mpaka ikawaingia kabisa baada ya muda si wakasikia njaa wakashauriana watungue maembe juu ya mti,maongezi yao yalikuwa hivi; Msela 1;msela kabla hatujatungua tutajuaje kama yameiva Msela 2;ngoja nipande nikacheq kama yameiva. Msela akapanda...
  9. P

    Panya wakwepa mitego hawa hapa!

    Panya wa3 walikuwa na kikao kifup na maongezi yao yalikuwa ya kutambiana kama ifuatavyo; Panya 1: mi nimekula chakula chenye sumu wala cjafa me balaa Panya 2: we kidogo ivyo mi nimeingia kwenye mtego nikajitoa alafu nikaondoka zangu Panya 3; mh! Wapi mi nilipo hapa nina mimba ya paka duh!
  10. P

    Dawa ya mwanamke anayependa kununa!

    Nina mpenzi wangu ambaye anapenda kununa sana hata kwa jambo dogo tu ananuna siku nzima,yaani haongei,hachek hata ufanyaje! Naomba mnishauri nimfanyaje kwani kuna muda nafikiria kumwacha!
  11. P

    Adhabu ya wanafunzi wanaotukana walimu

    Mwalimu ni mtu ambaye ni wa muhimu sana kwa maisha ya mwanafunzi yeyote yule na kupitia mwalimu tunapata madaktari,wanasheria,wabunge na wahasibu,ila kwa baadhi ya wanafunzi wanawadharau sana watu hawa kwa kuwatukana,kuwapiga na hata kuwabaka.Je,unafikiria ni adhabu itolewe ili kukomesha haya...
  12. P

    Kiongoz bora

    Wananchi wa kijiji cha Uswahilin wameonyesha ni jinsi gani wanavyomkubali kiongozi wao wa kijiji chao kwa kumjali alipokuwa amelazwa hospitali moja mjini Arusha ijulikanayo kwa jina la Kwa Babu (St.Elizabeth).Wananchi walipokutwa kwenye msururu huo wa kuelekea hospitali wengi wao walikuwa...
  13. P

    Tanesco wanakera

    Tanesco ndo wameanza tena mgao wao au vp? Maana umeme haushikiki kwanza uko juu alaf wanakata,yaani ni aibu kwa nchi kusikika ikilia eti shida ya umeme! AIBU
Back
Top Bottom