Kiongoz bora

Prince edu

Member
Dec 16, 2011
78
0
Wananchi wa kijiji cha Uswahilin wameonyesha ni jinsi gani wanavyomkubali kiongozi wao wa kijiji chao kwa kumjali alipokuwa amelazwa hospitali moja mjini Arusha ijulikanayo kwa jina la Kwa Babu (St.Elizabeth).Wananchi walipokutwa kwenye msururu huo wa kuelekea hospitali wengi wao walikuwa wakijadili kuhusu ubora wa kiongozi wao.Jamani viongozi walio madarakani igeni mfano huu ili muwe viongozi bora na si bora viongozi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom