Jaman naomba ushauri wenu ili nipone!

Prince edu

Member
Dec 16, 2011
78
0
Mi ni kijana ninayependa kufanya mazoezi na pia mi ni mchezaji wa timu ya mpira wa miguu na nina mpenz ambaye amekuwa kikwazo kwangu kwani anapenda mda wote niwe naye hata muda wa kwenda zoezi na nikijaribu kwenda ananiambia," kama hayo mazoezi yana umuhimu zaid yangu we nenda na ukirud usinisemeshe ki2!" yaan sijui nifanyaje kwan mazoez ni muhimu sana kwangu na pia nampenda sana mpenz wangu! Hebu nishaur nakusubiri mwanajf!
 
Huyo mpenzi ana akili za kitoto. We piga mazoezi, atanuna mwisho atazoea.
 
Mwambie if you cannot beat me, join me.

Aamue moja, kukuunga mkono kwenye mazoezi au anyamaze. sioni mantiki ya kukuonea wivu wakati unakwenda mazoezini.
 
Hapo la kufanya ni kwenda nae tu mazoezini hata mpilani ipo siku atazoea na kuacha kununa. Kila la kheri.
 
hiyo hakupendi bana...sasa wewe mpenzi wako umkataze anachopenda ulionaga wapi mapenzi hayo
 
Duuh pole, huyo si size yake maana ni goigoi tafuta anayejua umuhimu wa mazoezi na maana ya kila mtu kuwa na time yake kwenye mahusiano. Kama hatabadilika atakupasua kichwa.
 
Yaan nampenda sana ila khs hili suala la zoez cjui nfanyaje kwan nsha2miwa barua na timu yangu kwamba muda wowote wananfuta kwenye timu kwan hata uwanjan nilijaribu kuwmambia twende naye lakin hatak anataka 2 2kae 2pige stor et nikienda 2 zoez 2sijuane tena! Dah! Kiukwel ananipasua kchwa! Jaman nipen dawa!
 
Kwa nini usimshawishi awe anakuja na wewe?
Kuna raha fulani ya kufanya mazoezi pamoja...
 
mbona hayo ni mambo madogo sana?huyo dada ana mambo ya kitoto.kutwa story hizo story gani?muangaliane tu.au ndio kwanza mapenzi yenu mapya,huwa anapenda mgandane.mwambie umuhimu wa mazoezi yako,na huko kununa anatingisha kibiriti tu,usimuendekeze atakupanda kichwani bure.hajui mazoezi yanakufanya uwe fit
 
Mi ni kijana ninayependa kufanya mazoezi na pia mi ni mchezaji wa timu ya mpira wa miguu na nina mpenz ambaye amekuwa kikwazo kwangu kwani anapenda mda wote niwe naye hata muda wa kwenda zoezi na nikijaribu kwenda ananiambia," kama hayo mazoezi yana umuhimu zaid yangu we nenda na ukirud usinisemeshe ki2!" yaan sijui nifanyaje kwan mazoez ni muhimu sana kwangu na pia nampenda sana mpenz wangu! Hebu nishaur nakusubiri mwanajf!

1. Ni mpenzi wa aina gani huyo? Mume, mke, boyfriend, girlfriend, etc?
2. Kwa nini hataki uende kwenye mazoezi. Sababu ni nini hasa?
3. Halafu umeulizwa wewe ni me au ke?
 
2. Kwa nini hataki uende kwenye mazoezi. Sababu ni nini hasa?

Sijui mshikaji yuko wapi lakini kama ana membership kwenye health club basi ninaweza kuelewa kidogo maana huko huwaga ni balaa. Kuna vishawishi vingi sana.
 
Mi ni mwanaume bwana na mpenz mwenyewe ni girlfriend na si mke,cjui sabab ya kuninyima nisiende kwan nmemuhimiza twende naye ila ni mgumu kamesimamia kucha!
 
Mi ni mwanaume bwana na mpenz mwenyewe ni girlfriend na si mke,cjui sabab ya kuninyima nisiende kwan nmemuhimiza twende naye ila ni mgumu kamesimamia kucha!

Kumbe ni girlfriend tuu. Khaa! Piga tizi kaka. Ila sio unapiga kila siku kuanzia asubuhi mpaka usiku. Anakuhitaji pia mida fulani lakini sio kila saa bana. Kama amesema " kama hayo mazoezi yana umuhimu zaid yangu we nenda na ukirud usinisemeshe ki2!" mboana poa sana? yaani hata sioni kwa nini unaumwa kiasi cha kuta uponyeshwe. Ana umri gani kwani? Na wewe una umri gani?

Unless kuna mengine yamejificha huko, hakuna haja ya kumwambia chochote. Sidhani kama ana biashara yoyote ya kukwambia usicheze mpira. Wala hakuna haja ya wewe kutafuta sababu za kumweleza kwa nini unacheza mpira. Si alikukuta unacheza mpira?

Kama wewe ni mpenzi wa mpira na unapenda kucheza mpira basi cheza mpira. Kama hawezi kukukabiliana na hilo labda unahitaji kutafuta girlfriend mwingine ambaye atakakuunga mkono kucheza mpira. Tafuta girlfriend anayekupenda kama ulivyo bila kutaka kukubadilisha ili uwe kama anavyotaka yeye. Girlfriend anayekuheshimu kama ulivyo na anayekuunga mkono kufanya mazoezi. So, don't quit football. She is just your girlfriend.
 
Sijui mshikaji yuko wapi lakini kama ana membership kwenye health club basi ninaweza kuelewa kidogo maana huko huwaga ni balaa. Kuna vishawishi vingi sana.

Tena kama ingekuwa ni health club angempeleka na yeye huko. Kuna mtu hapa alishaleta exactly the same thread huko nyuma. Ila mkewe alikuwa na wasiwasi jamaa alikuwa anaenda "kucheza mpira" sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom