Tanesco wanakera

Prince edu

Member
Dec 16, 2011
78
0
Tanesco ndo wameanza tena mgao wao au vp? Maana umeme haushikiki kwanza uko juu alaf wanakata,yaani ni aibu kwa nchi kusikika ikilia eti shida ya umeme! AIBU
 
yani leo ndo umejua kuwa wanakera..wengine tumeshalaumu hadi sauti zimekauka tumebaki tunakodoa macho sababu wabongo wote tuna asili ya woga..wanapandisha kilasiku bei ya umeme tunalia chinichini..
 
Hivi wafanyakazi wake (tanesco) wameshaanza kulipia umeme kama ilivyoamriwa na Ewura?
 
Mbaya zaidi shirika linakosa mapato kwa kushindwa kuunganishia umeme wateja wapya, wateja wameshalipa wanasubiri zaidi ya miezi 4 kisingizio hakuna mita za luku
 
Back
Top Bottom