Hivi hii kitu, "Brexit Vote" ina mambo mazuri kwa Uingereza? Hivi tusimamie upande gani, "Uingereza KUCHELE au Uingereza KUCHWELE'? Wataalam wa anga za kiuchumi na kimataifa mtujuvye ....
Analysis of IMEI numbers
All mobile phones are assigned a unique 15 digit IMEI code upon production. Below you can check all known information regarding manufacturer, model type, and country of approval of a handset.
Tip! The IMEI can be displayed on most mobile handsets by dialling *#06#...
Asante kwa thread nzuri yenye kupanua ufahamu katika maswala ya kiuchumi angalau kidogo kwetu tusio nguli katika eneo hilo.
Kwa nyongeza, tunapoongelea "Utajiri" yaweza kuwa mada pana sana hasa kwa kuzingatia kwamba unaongelea utajiri wa mtu, taasisi, nchi na kwa vigezo gani unajenga hoja yako...
Kuhusu mkubwa nani kati ya DC na mbunge - hiyo equation haiko wazi; wawili hao wote wanatoka kwenye mihimili tofauti ya dola - Serikali (Makonda kama mkuu/rais wa wilaya), na Bunge (Kubenea kama mbunge/mwakilishi wa jimbo la wananchi).
Kamwe huwezi kuwaweka hao pamoja na kusema nani mkubwa -...
Sidhani kama ni muda muafaka kuanza kuongelea UKAWA, CDM au CCM; hebu tuweke pembeni tofauti zetu za kisiasa (kwani kuna maisha baada ya uchaguzi) tujenge nchi uetu yenye kubarikiwa.
Kama kuna wahusika basi wahusishwe kama wao na sio kutuchanganya kwani mambo ya jinsi hii hayatujengi kabisa...
Wakati naweza kukubaliana nawe kwa mengi, zingatia matumizi mazuri ya maneno.
Nukuu yako haiko sawa; Mwl Nyerere hakutumia neno "dogs" kumaanisha kile alichosema kwa mantiki/maudhui ya lugha ya kiingereza (hapa usitafsiri kwenda kiswahili neno kwa neno).
Mwl Nyerere alitumia neno "underdogs"...
Tunaposema 'nchi ni kubwa' lazima tuelewe tunamaanisha nini. Ni ukubwa wa eneo lake au ni ukubwa wa mambo mengine; uchumi, technology, nk?
Kuna nchi nyingi ni kubwa kwa vyote; USA, China, Russia, na India(?)
Lakini kuna nchi nyingine ni ndogo sana kwa eneo lakini ziko powerful kwa mambo...
HapNa sidhani kama inahusiana na kifungu gani. Ni kutokana na mfumo wetu wenye kuleta mkanganyiko wa mihimili mikuu ya dola, yaani Serikali (Executive) mtendaji mkuu wa nchi, kisha Mahakama (Judicial) ambapo maswala ya haki na sheria huingia hapo,na mwishoni ni Bunge (Legislative) kama chombo...
Usiwe na hofu idara husika iko makini, (swala hapa sio wapi mtu anatoka ni nini anafanya hasa kwa mambo yenye kugusa usalama na maslahi ya taifa) mtanzania akifanya ovyo atatambuliwa mapema tu,poa na tuliza moyo things in control
Hivi mtu amesoma combi ya Science ikihusisha Physics & Chemistry, tena akaenda BSc had PhD in Chemistry alikuwa anasoma kwa Kisukuma?
Ukweli usiopingika ni kwamba:
1. Kujua na kuongea English (hata kwa mtiririko mzuri) sio kigezo cha elimu, si tunamkumbuka President wa China wakati wa ufunguzi...
Fuata utaratibu (ITIFAKI izingatiwe), huna haja ya kumwaga mtama mbele ya kuku hapa; wengine wataukanyaga tu na mwishowe hutaonekana mwenye HEKIMA.
Wewe kama Mchungaji, huna viongozi wako wa juu katika kanisa lako; taasisi inayotambulika rasmi serikalini? Huna Askofu Mkuu ambaye kwa nafasi yake...
Jina la kituo cha redio inategemea na kusudi kuu la redio hiyo. Unapenda redio iwe ya mchepuo gani; dini, michezo, movie, au mambo yote kwa ujumla kama ambavyo karibu vituo vingi vipo hivyo? Pamoja na kuwa kituo kitarusha matangazo kwa ujumla, bado unaweza kusisitizia eneo kuu km elimu, sayansi, nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.