Historia ya Paul Makonda

Nchi Hii Kwa Ilivyo Sasa Inabidi Kutumia Style Ya Makonda Kwanza Ili Watu Wanyooke Na Wajue Kuna Serikali. Wako Vijana Na Watu Wazima Walioambukizwa Ujuha Na Viongozi Hasa Wa Kisiasa Wasioheshimu Mamlaka. Hawa Ni Kudeal Nao Hivihivi Kwanza Baada Ya Mwaka Watakuwa Wamerudi Kwenye Mstari
 
kweli nakumbuka kwenye bunge la katiba alisha ambaa na simu ya mjumbe mwenzake
 
Watanzania ni wepesi sana kusahau. Hamkumbuki ile scandal katika Bunge la Katiba? Nani alikuwa mwizi wa simu za wajumbe? Ni nani alikuwa akionekana kuwa karibu watu wanaweka simu zao kwenye mikoba na mifukoni? Sasa kwa tabia kama hiyo utamwita nani mtu kama huyo anayelipwa Shs 300,000/ per diem na anaiba simu za wenzake?
Kwa vyovyote vile ni Kibaka tena mzoefu.
Hongera Kubenea kwa kutukumbusha jambo tulilokuwa tumesahau, kweli wewe pamoja na kuwa Mbunge bado ni mwandishi nguli asiye sahau matukio. Ni vema ile story ya wizi wa simu BMK ukaiweka tena katika gazeti ili watu wa Kinondoni (ambayo inasifika kuwa na vibaka wengi) wajue kuwa wameletewa DC ambaye ni kubwa lao hao vibaka.

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Du!
 
tunasubiri cv ya huyu bwana makonda ametokea wapi na amefanyia nini taifa hadi kufika alipofika leo.
 
Habari wanajamvi;
Naomba tusaidiane kujua background ya huyu Mkuu wa Wilaya yetu ya Kinondoni.
Tujue kidogo maisha yake, elimu yake alikulia wapi aliishi vp uko alikotoka na mengineyo.

Naomba msaada jaman.

Amebobea katika FITNA, KUJIKOMBA na KULAMBA VIATU VYA MWANA WA MFALME MSTAAFU
 
Tuwekee tule tupicha tukumbukie please

attachment.php


Usikonde mkuu.
 
Ni hatari sana hii,inawezekana kuna kitu zaidi ya kufuga viatu.
 
sasa mtu wa aina hii anapewaje ukuu wa wilaya anaweza akawa anaishiwa naye pumzi sibure

Halafu hao wamepewa mamlaka ya kufungisha ndoa!
Kama kijana wako anaoa na mfungishaji wa ndoa hiyo ndio huyu bora uahirishe tuu kwani kijana wako anaweza Ku adopt tabia mbaya na kuja kuwa mume -----
 
MAKONDA MTAMPENDA TU! Mlikuwa hamjui DC ni Mkubwa kupita Mbunge.... Hongera MAKONDA kaza uzi...wakileta UJINGA tupa LUPANGOooo........ WAKIWA hao.....
Kuhusu mkubwa nani kati ya DC na mbunge - hiyo equation haiko wazi; wawili hao wote wanatoka kwenye mihimili tofauti ya dola - Serikali (Makonda kama mkuu/rais wa wilaya), na Bunge (Kubenea kama mbunge/mwakilishi wa jimbo la wananchi).
Kamwe huwezi kuwaweka hao pamoja na kusema nani mkubwa - wanatoka kambi tofauti zenye utendaji wenye uhusiano tu na sio ulinganifu.
Cha maana hapa kwa hao wawili ni KUHESHIMIANA; kila mmoja afanye wajibu wake vema kwa kadiri ya majukumu yake (JDs)
 
Back
Top Bottom