Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Mmewahi kusikia kuwa maeneo mengi ya dunia yaliyokumbwa na merger disasters kama Japan,Indonesia kulikuwa na UFO sighting kibao punde kabla ya matukio?If you are interested to know why Japan is having so many natural disasters now and who is behind it please google the word HAAARP!

Mkuu nimesoma vizuri mada zako. pia nimesoma Biblia 6:1-8. Biblia inaonyesha kuwa Mungu aliwaangamiza watu wote isipokuwa Nuhu. sasa hawa unawasema akina Rockafeller wsliponaje? wakati tunaona waliopona ni watu nane tu?
 
For those who are interested with the Vatican issues,there is this cardinal Bea's story circulating around the world for quite sometimes now(since 60's if i remember well) about "HOW THE VATICAN CREATED MOHAMMED AND ISLAM".Just google that and read,i can't write it here.How do you see that?please let's share some views.

Mhh???? Muhammad tena????
 
Asante kwa thread nzuri yenye kupanua ufahamu katika maswala ya kiuchumi angalau kidogo kwetu tusio nguli katika eneo hilo.
Kwa nyongeza, tunapoongelea "Utajiri" yaweza kuwa mada pana sana hasa kwa kuzingatia kwamba unaongelea utajiri wa mtu, taasisi, nchi na kwa vigezo gani unajenga hoja yako.
Kuna watu ni matajiri kama mtu binafsi; km Billy Gate, Warren Buffet na Amanzio Ortega, (google richest people in the world).
Na pia kuna utajiri wa kifamilia; km Walmart Family na Carlios Slim Helu & Family.
Swala la utajiri wa Rockefeller Family hilo ni jambo la jinsi yake kabisa. Hawa jamaa walishavuka viwango vya utajir wa mtu mmoja mmoja na hata wa kifamilia. Kwa sasa hata wameshavuka utajiri wa kitaasisi wako mbali sana; wana ukwasi usioneneka.
Wao swala la kuingizwa kwenye records ni outdated kabisa; kwao kuandikwa kwenye media niseme ni "utoto"
Kwa ujumla wa kihalisia watu matajiri kabisa walio na UKWASI wa kugusa kama sio kutikisa dunia huwa hawapendwi kuanikwa kwenye media; wanafanya mambo 'nyuma ya pazia' you will just see their IMPACTS
 
Bill Clinton ni mtoto wa John Rockefeller Jr. Rockefeller's waliokuwa on course kuitawala duniani. Lakini baada ya 1977 Battle of the Harvest Moon umaarufu unaanza kupungua. Hayo Rockefeller's wengi wao wameuawa ingawa apparently they are still alive. Battle of the Harvest Moon kwa wale wasiofahamu ni kwamba Rockefeller's walitaka kuweka military base on the moon. Warusi wakaiteketeza. Ndio maana Wamarekani waliacha ghafla kwenda mwezini saying that it was a waste of time. Look carefully. The situation is very,very deceptive. Dunianiinaongozwa na Russia lLakini inaonekana inaongozwa na Marekani. Hillary Clinton kwa mfano,ni organic robotoid controlled by Russian scientists from their base in Novosibirsk. Hawa robots wako wengi sana Ulaya and I was just wondering kama wamefika Afrika. Jana lilikuwanauliza maswali kuhusu Dr. She in,because of some things that I had noticed. Lakini mod upesi ameiondoa posting yangu.
 
Na pia Rockafellers ndo wanaown media kama CNN,BBC,NBC,wanacontrol entertainmnt system from movies to music wakiwa na Wyatt family,kuna documentary inaitwa Zeitgiest na kitabu witchcraft and the illuminati,kimeeleza sana kuhusu hao watu
 
nasubiri kutukanwa kwa nitakalosema hapa lakini nitasema tu.wamejenga makanisa mengi sana.wamejenga seminari nyingi sana U.S wamejenga universities nyingi sana U.S.Wana taasisi nyingi zinazomilikiwa na taasisi nyingine zinazomilikiwa na nyingine..its a chain of organizations!wameiweka dini mikononi mwao ili kucontrol mafundisho yake yaendane na falsafa wanazotaka wao.hawa ndio Rockfellers,mojawapo ya familia 13 zinazounda supreme council ya illuminati inayotawala dunia yetu leo.familia nyingine ni Rothschild,Bundy,Kennedy,Russell,Astor,Collins,Du Pont,Freeman,Li,Onassis,Reynolds na Van Duyn.pia kuna watu huwa hawaorodheshwi hapa kutokana na structure ya network yao ilivyo lakini wako karibu sana na council of 13.hawa watu ni koo za kifalme za ulaya(U.K,HOLLAND,SPAIN ETC).jambo ambalo watu wengi hawajui ni kuwa koo hizi za kifalme za ulaya zote zina mahusiano ya damu na pia zina mahusiano ya damu na hizo familia hapo juu.baada ya council of 13,kuna council of 33 na baada ya council of 33 kuna council of 300.hizi council nyingine ni za watu wa kawaida matajiri akina Agnelli,Morgans,Carnegie,Warbug etc.sikumbuki kumuona Gates kwenye list hizi.hii council of 300
ndio ina-interact na akina sie na serikali zetu kupitia organizations mbalimbali zikiwemo za intellijensia,Kijamii,kidini na kisiasa kama U.N,AU,C.I.A,MOSSAD,KGB,M16,YMCA,LUCIS TRUST,BENKI,HOSPITALI,VIWANDA,SERIKALI ETC!nisingehangaishwa na uwepo wa watu hawa kama ishu ingekuwa wanataka madaraka na fedha tu!no,they want power!power in every sense!nguvu yote hata nguvu inayokufanya wewe na mie tupumue.kwa nini?asili yao inaeleza sababu.karibu hizo familia zote 13 zinatokana na asili ya binadamu wasio wa kawaida.hili ndilo giza nene lililoifunika dunia.tunadhani wote tuko sawa.no,nenda Misri eneo linaitwa Giza,katazame pyramids na miji ya zamani,nenda Mexico,katazame pyramids za kule(kuna hekalu moja kule limejengwa kwa pyramids nyingi zilizounganishwa kwa barabara na underground tunnels ambapo ukizichora tunnels hizo jinsi zinavyounganisha ramani ya hekalu hilo kwa ujumla ukatazama kwa juu yaani aerial view iko exactly mchoro wa microchip ya computer!).huko utakuta miji na mahekalu vilivyojengwa kwa very advanced technology ambayo leo tunastruggle kujifunza taratibu.ni nani aliyejenga na kuwapa watu hao wa zamani sayansi kubwa hivyo?nimegusia hayo kuonyesha kuwa hata katika dunia ya leo upo ushahidi wa kutosha kuprove jambo hili zito lisilosemwa sana,kwamba huko nyuma kuna tukio kubwa sana lilitokea na hadi leo athari zake zinatawala maisha yetu.tukio hilo ni interaction kati ya binadamu na viumbe fulani wengine wa Mwenyezi Mungu(huwa tunawaita tu malaika hii inatupa upofu sana)walikuwa 200 wakiongozwa na mkuu wao Azazel waliposhuka ktk kilele cha mlima Hermon na kuigiza maumbile ya kibinadamu.kilichowaleta ni kutamani binadamu.walitaka kukaa nao,wawatawale,wazae nao,waanzishe empire yao tofauti na utaratibu waliopangiwa na Mungu.wakafanya hivyo.ikazaliwa offspring ya ajabu,majitu makubwa yenye nguvu za kutisha na akili za ajabu na roho za ajabu maana nusu binadamu nusu malaika.waliitwa nephilims,leo tunawaita titans(usifikiri hadithi ya kigiriki hii)!kutokana na hiyo offspring kuwa imbalance,ilileta vurugu kubwa duniani,na kama Mungu asingeingilia kati mbegu ya binadamu pure ingetoweka.hao malaika pamoja na hayo matoto yao ndio walifundisha binadamu mambo meengi ambayo leo yana sehemu kubwa ktk sayansi,elimu na tamaduni zetu hasa mashariki ya mbali,India na america.base yao kuu ilikuwa bara la Atlantis lililokuwepo katikati ya america na ulaya.kitendo hiki kilimchukiza Mungu mno akaamua kutuma gharika ya maji na kuteketeza dunia nzima pamoja na bara la Atlantis isipokuwa binadamu mmoja anaitwa Nuhu na watoto wake na baadhi ya wanyama ambao hawakuchafuliwa(nephilims walizaana hata na mijusi,kilichotoka hapo ni balaa).LAKINI kuna laana alitamka Mungu,kwamba roho za viumbe hao hataziangamiza,ataziacha na zitakuwa chanzo cha kila uovu duniani kwa umri wote wa dunia hadi mwisho ili viumbe wake wote wapate darasa how serious was this mistake!roho hizo ndizo zilimuongoza Nimrod kuijenga Babylon na kuanzisha idol worshiping na tamaduni za Atlantis zikaanza kurudi taratibu huku spidi yake ikivurugwa na elimu ya dini ya mitume na manabii wa Mungu.ilibidi utaratibu wa kuinteract na binadamu ili kutimiza lengo lao waufanye kwa siri,taratibu,miaka na miaka,wakiibadili dunia taratibu hadi mazingira yakiruhusu,roho hizi zikiwa ndani ya miili ya kibinadamu,zitaigeuza dunia nzima kuwa kama Atlantis!ndipo hapa vyama vya siri na dini zisizoeleweka vinaposhamiri underground.hawa council of 13 ni binadamu waliotoka koo zenye asili ya damu ya nephilims walioanza kuingiliana na binadamu pale Babylon hadi leo.ndio hao akina Goliath,ndio wale titans wa Yeriko,ndio hawa leo tunawaita alliens!muhimu:the BIGGEST LIE ktk elimu yetu,ni kuaminishwa malaika hajamiiani!

za mach live bila chenga
 
Hujajibu swali, that much is clear.

Imetolewa na nani? inapatikana wapi? ina authority gani?

List inayojulikana na kuwa quoted the most - rightly or wrongly- ni ya Forbes. Ambayo haijawahi kuripoti mtu kufikisha net worth ya 100 billion US dollars.

Huyu Rockefeller mwenye net worth ya dola bilioni 663 karipotiwa na list gani? Inaitwaje? Inapatikana wapi?

Na hizi dollar ni dollar gani?

Maana isije kuwa tunaongelea dollar za Zimbabwe hapa.

NI KWELI IKO WIKIPEDIA.NIMECOPY MAELEZO HAYA:
" Net worth US$336 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures , based on information from Forbes ? September 2007"
 
Net worth US$336 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures , based on information from Forbes ? September 2007[WIKIPEDIA)
 
Net worth US$336 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures , based on information from Forbes ? September 2007[WIKIPEDIA)

Where do you draw the line of a historical figure? Does this include Mansa Musa and King Solomon?
 
nasubiri kutukanwa kwa nitakalosema hapa lakini nitasema tu.wamejenga makanisa mengi sana.wamejenga seminari nyingi sana U.S wamejenga universities nyingi sana U.S.Wana taasisi nyingi zinazomilikiwa na taasisi nyingine zinazomilikiwa na nyingine..its a chain of organizations!wameiweka dini mikononi mwao ili kucontrol mafundisho yake yaendane na falsafa wanazotaka wao.hawa ndio Rockfellers,mojawapo ya familia 13 zinazounda supreme council ya illuminati inayotawala dunia yetu leo.familia nyingine ni Rothschild,Bundy,Kennedy,Russell,Astor,Collins,Du Pont,Freeman,Li,Onassis,Reynolds na Van Duyn.pia kuna watu huwa hawaorodheshwi hapa kutokana na structure ya network yao ilivyo lakini wako karibu sana na council of 13.hawa watu ni koo za kifalme za ulaya(U.K,HOLLAND,SPAIN ETC).jambo ambalo watu wengi hawajui ni kuwa koo hizi za kifalme za ulaya zote zina mahusiano ya damu na pia zina mahusiano ya damu na hizo familia hapo juu.baada ya council of 13,kuna council of 33 na baada ya council of 33 kuna council of 300.hizi council nyingine ni za watu wa kawaida matajiri akina Agnelli,Morgans,Carnegie,Warbug etc.sikumbuki kumuona Gates kwenye list hizi.hii council of 300
ndio ina-interact na akina sie na serikali zetu kupitia organizations mbalimbali zikiwemo za intellijensia,Kijamii,kidini na kisiasa kama U.N,AU,C.I.A,MOSSAD,KGB,M16,YMCA,LUCIS TRUST,BENKI,HOSPITALI,VIWANDA,SERIKALI ETC!nisingehangaishwa na uwepo wa watu hawa kama ishu ingekuwa wanataka madaraka na fedha tu!no,they want power!power in every sense!nguvu yote hata nguvu inayokufanya wewe na mie tupumue.kwa nini?asili yao inaeleza sababu.karibu hizo familia zote 13 zinatokana na asili ya binadamu wasio wa kawaida.hili ndilo giza nene lililoifunika dunia.tunadhani wote tuko sawa.no,nenda Misri eneo linaitwa Giza,katazame pyramids na miji ya zamani,nenda Mexico,katazame pyramids za kule(kuna hekalu moja kule limejengwa kwa pyramids nyingi zilizounganishwa kwa barabara na underground tunnels ambapo ukizichora tunnels hizo jinsi zinavyounganisha ramani ya hekalu hilo kwa ujumla ukatazama kwa juu yaani aerial view iko exactly mchoro wa microchip ya computer!).huko utakuta miji na mahekalu vilivyojengwa kwa very advanced technology ambayo leo tunastruggle kujifunza taratibu.ni nani aliyejenga na kuwapa watu hao wa zamani sayansi kubwa hivyo?nimegusia hayo kuonyesha kuwa hata katika dunia ya leo upo ushahidi wa kutosha kuprove jambo hili zito lisilosemwa sana,kwamba huko nyuma kuna tukio kubwa sana lilitokea na hadi leo athari zake zinatawala maisha yetu.tukio hilo ni interaction kati ya binadamu na viumbe fulani wengine wa Mwenyezi Mungu(huwa tunawaita tu malaika hii inatupa upofu sana)walikuwa 200 wakiongozwa na mkuu wao Azazel waliposhuka ktk kilele cha mlima Hermon na kuigiza maumbile ya kibinadamu.kilichowaleta ni kutamani binadamu.walitaka kukaa nao,wawatawale,wazae nao,waanzishe empire yao tofauti na utaratibu waliopangiwa na Mungu.wakafanya hivyo.ikazaliwa offspring ya ajabu,majitu makubwa yenye nguvu za kutisha na akili za ajabu na roho za ajabu maana nusu binadamu nusu malaika.waliitwa nephilims,leo tunawaita titans(usifikiri hadithi ya kigiriki hii)!kutokana na hiyo offspring kuwa imbalance,ilileta vurugu kubwa duniani,na kama Mungu asingeingilia kati mbegu ya binadamu pure ingetoweka.hao malaika pamoja na hayo matoto yao ndio walifundisha binadamu mambo meengi ambayo leo yana sehemu kubwa ktk sayansi,elimu na tamaduni zetu hasa mashariki ya mbali,India na america.base yao kuu ilikuwa bara la Atlantis lililokuwepo katikati ya america na ulaya.kitendo hiki kilimchukiza Mungu mno akaamua kutuma gharika ya maji na kuteketeza dunia nzima pamoja na bara la Atlantis isipokuwa binadamu mmoja anaitwa Nuhu na watoto wake na baadhi ya wanyama ambao hawakuchafuliwa(nephilims walizaana hata na mijusi,kilichotoka hapo ni balaa).LAKINI kuna laana alitamka Mungu,kwamba roho za viumbe hao hataziangamiza,ataziacha na zitakuwa chanzo cha kila uovu duniani kwa umri wote wa dunia hadi mwisho ili viumbe wake wote wapate darasa how serious was this mistake!roho hizo ndizo zilimuongoza Nimrod kuijenga Babylon na kuanzisha idol worshiping na tamaduni za Atlantis zikaanza kurudi taratibu huku spidi yake ikivurugwa na elimu ya dini ya mitume na manabii wa Mungu.ilibidi utaratibu wa kuinteract na binadamu ili kutimiza lengo lao waufanye kwa siri,taratibu,miaka na miaka,wakiibadili dunia taratibu hadi mazingira yakiruhusu,roho hizi zikiwa ndani ya miili ya kibinadamu,zitaigeuza dunia nzima kuwa kama Atlantis!ndipo hapa vyama vya siri na dini zisizoeleweka vinaposhamiri underground.hawa council of 13 ni binadamu waliotoka koo zenye asili ya damu ya nephilims walioanza kuingiliana na binadamu pale Babylon hadi leo.ndio hao akina Goliath,ndio wale titans wa Yeriko,ndio hawa leo tunawaita alliens!muhimu:the BIGGEST LIE ktk elimu yetu,ni kuaminishwa malaika hajamiiani![/QUOTE

ondoa jina la Kennedy kwenye huu uchafu
Kennedy ni family inayojiheshimu wanamcha MUNGU na HAWATAKIWI KABISA MAREKANI!!
Ni maadui wa hao ulowataja japo ni family maarufu kutokana na msimamo wao
 
Bill Clinton ni mtoto wa John Rockefeller Jr. Rockefeller's waliokuwa on course kuitawala duniani. Lakini baada ya 1977 Battle of the Harvest Moon umaarufu unaanza kupungua. Hayo Rockefeller's wengi wao wameuawa ingawa apparently they are still alive. Battle of the Harvest Moon kwa wale wasiofahamu ni kwamba Rockefeller's walitaka kuweka military base on the moon. Warusi wakaiteketeza. Ndio maana Wamarekani waliacha ghafla kwenda mwezini saying that it was a waste of time. Look carefully. The situation is very,very deceptive. Dunianiinaongozwa na Russia lLakini inaonekana inaongozwa na Marekani. Hillary Clinton kwa mfano,ni organic robotoid controlled by Russian scientists from their base in Novosibirsk. Hawa robots wako wengi sana Ulaya and I was just wondering kama wamefika Afrika. Jana lilikuwanauliza maswali kuhusu Dr. She in,because of some things that I had noticed. Lakini mod upesi ameiondoa posting yangu.

Mhhhh Mr, inaonyesha you have so many thngs to share with us
 
huu uzi umekua mzuri baada ya juve kufunguka, mleta uzi hakuuweka vizuri mpaka nikawa na wasiwasi, mfano kuna mahali amechapia kuhusu bili gate na utajiri wake eti milioni bilioni dah! pengine amenishika kua amefanya RESEARCH KWA MIAKA KUMI DU! sina uhakika kua wao ndio wanachagua raisi wa marekani, so USA hakuna uchaguzi? au hawa jamaa wanaiba kura? au kwa sababu wana hela labda wananunua wapiga kura? uzi mzuri lakini ni mgumu kweli
 
Ni kama tulivyopangiwa rais na CCM uchaguzi uliopita ,angepita Lowasa ni zao la CCM na amepita Magufuli bado ni zao la CCM kwa hiyo tumepangiwa rais na mfumo in advance level.
 
Back
Top Bottom