Rwanda: Tanzanians Get Taste of Kagamecracy Made in Rwanda, and Loving it

Size doesn't matter bro. Rwanda is progressing on many fronts and her indicators are improving by the day. TZ is actually larger than Nigeria(Did you know this?).
Size matters my friend although this should not be an excuse to our irresponsibility. Managing a large population is more complicated than the smaller population.
 
Tanzania ni taifa kubwa, Kwahiyo mnapaswa kuilinganisha na mataifa kama Ethiopia, South Africa, Algeria, Misri nk.

Mkuu tunapaswa kujifunza kwa kila mtu mdogo hata mkubwa, kama Rwanda imepiga hatua jambo ambalo sisi bado hatujafikia tunapaswa kujifunza kwao pia,kwakuwa Rwanda Ni nchi ndogo Sana kwetu sio kosa hata kidogo kuiga mazuri yao.
inasemekana wataalamu wengi WA elimu Rwanda imechukua kutoka Tanzania baada ya kuona Ni faida kwa maendeleo yao
 
Aliyeandika anaelewa akichokiandika na kwanini zaidi ya wewe shabiki wa Diamond

Magufuli, the Presidaa mwenyewe shabiki wa Diamond...ndiyo maana alikuwa anazunguka naye kwenye mikutano mbalimbali nchini, sembuse jay311
 
Last edited by a moderator:
Tunaposema 'nchi ni kubwa' lazima tuelewe tunamaanisha nini. Ni ukubwa wa eneo lake au ni ukubwa wa mambo mengine; uchumi, technology, nk?
Kuna nchi nyingi ni kubwa kwa vyote; USA, China, Russia, na India(?)
Lakini kuna nchi nyingine ni ndogo sana kwa eneo lakini ziko powerful kwa mambo mengine. Kwa mfano, wakati kieneo Tanzania ni 947,303 km[SUP]2[/SUP] , and Population: 49.25 million (2013) according to World Bank, bado haiwezi kushindana na nchi kama Uingereza au Israel yenye wakazi chini ya 9 milion by 2014 na eneo la 22072 km[SUP]2 [/SUP]
 
The article is precise and detailed about Rwanda. So it is relevant to Rwandese.
 
Duh,watu wamejawa na ujinga chungu nzima kama tanzania ni nchi kubwa mbona hakuna chochote cha kuiga kutoka kwake ni ushabik wa upumbavu na umbea na uchawi!Rwanda ni inchi inayosonga kwa kasi,tuna mengi ya kujifunza hapo kama nchi za E.A.
 
mchambawima1
Bullshit, Tanzania has nothing to learn from a country with sq kms like one of her 26 regions

Why do you think Tanzania cannot learn anything from countries which are small in size? The following countries are even smaller than Rwanda in size: Israel, Singapore, Kuwait, Qatar, Mauritius, Bahrain, etc.
 
This people are so dumb they need a whole commitee to look into the matter of their stupidity!
 
It cost Euro 900000 to construct 1km of tarmac road in Uganda, it takes Euro 600000 to construct a tarmac road in Rwanda respectively#

It takes Euro 400000 to construct a tarmac road in Tanzania (about 1 billion)???

This means what, are we less corrupt than our fellows or our roads are below standard compared to theirs???
Hard 2 tell!
 
Tunaposema 'nchi ni kubwa' lazima tuelewe tunamaanisha nini. Ni ukubwa wa eneo lake au ni ukubwa wa mambo mengine; uchumi, technology, nk?
Kuna nchi nyingi ni kubwa kwa vyote; USA, China, Russia, na India(?)
Lakini kuna nchi nyingine ni ndogo sana kwa eneo lakini ziko powerful kwa mambo mengine. Kwa mfano, wakati kieneo Tanzania ni 947,303 km[SUP]2[/SUP] , and Population: 49.25 million (2013) according to World Bank, bado haiwezi kushindana na nchi kama Uingereza au Israel yenye wakazi chini ya 9 milion by 2014 na eneo la 22072 km[SUP]2 [/SUP]

Vyovyote vile, wewe juwa tu kuwa Tanzania ni Taifa kubwa.
 
Tanzania can well prevail and shine under this Magufuri tenure. Just wait and see!
 
Mkuu tunapaswa kujifunza kwa kila mtu mdogo hata mkubwa, kama Rwanda imepiga hatua jambo ambalo sisi bado hatujafikia tunapaswa kujifunza kwao pia,kwakuwa Rwanda Ni nchi ndogo Sana kwetu sio kosa hata kidogo kuiga mazuri yao.
inasemekana wataalamu wengi WA elimu Rwanda imechukua kutoka Tanzania baada ya kuona Ni faida kwa maendeleo yao

Sasa ikiwa inachukua wataalam kutoka Tanzania si maana yake sisi tuko mbele kielimu? Wewe uliwahi kuona wapi tunachukua wataalam wa rwanda kuja kuendesha taasisi zetu za kifedha au elimu?
 
Ndio ushangae kwann hatufanikiwa....km MTU anatumia kilicho chako kupata mafanikio afu wewe unashindwa bogas kabisa...imagine wangejaliwa vikubwa km vyetu tungewapata hawa
 
Kagame lazima aachie madaraka ifikapo 2017.Ni kweli ameibadilisha Rwanda lakini ni wakati wa kumpisha mnyarwanda mwingine awatumikie wanyarwanda.
 
mchambawima1
Bullshit, Tanzania has nothing to learn from a country with sq kms like one of her 26 regions

Not only Rwanda,even Israel and Japan are small countries compared to Tanzania, is true that we have nothing to learn from them?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom