Chui wa kwenye mbuga zetu wanaishi maisha ya kifahari kuliko mtz wa kawaida

Yani wewe ukila nyama kila siku ndio maisha mazuri? Jee unamjua boss wa Facebook? Unafahamu kwamba yeye hali nyama wala pilau?
Chakula chake ni matunda na mboga za majani tuu???

Wakuu huyu hajanielewa naomba tusaidiane kumuelimisha au asome vizuri na kutafakari kwa umakini
 
Ahaaa, hebu fanya kama na wewe unaenda kuishi mbugani ili uwe na maisha hayo ya kifahari

Ngoja niende mikumi maana kule kuna nyumbu na nyati huwa wanagongwa kila leo, hakuna haja ya kutumia nguvu kuwinda
 
Yani wewe ukila nyama kila siku ndio maisha mazuri? Jee unamjua boss wa Facebook? Unafahamu kwamba yeye hali nyama wala pilau?
Chakula chake ni matunda na mboga za majani tuu???

Huyo boss nikikutana naye porini lazima nimle maana ana tabia za swala kabisaaa hahahaha
 
Back
Top Bottom