Tupatupa naomba utusaidie kidogo. Huyu mtu kaomba nafasi ya kugombea Uspika kwa kupitia CCM, Hapo inamaanisha yeye ni kada wa chama. Madaraka aliyonayo hayamruhusu kujidhihirisha kuwa ni kada wa chama. Sasa jee akiukosa huo Uspika, jambo ambalo ni dhahiri atarudi tena kwenye ofisi yake ya Naibu Mwanasheria mkuu wa serikali?
Jee iwapo atarudi na jambo hilo likapotezewa kama ilivyo kawaida ya serikali hii ya ccm, sasa kesho na kesho kutwa akijitokeza kiongozi mwingine wa serikali eitha Katibu mkuu, Kamishna au mwenye wadhifa wowote akagombea nafasi yeyote ya juu inayodhaminiwa kichama kwa kupitia Chadema au CUF na akashindwa ataruhusiwa kurudi kazini kwake?
Kaka kanuni na sheria ziko hivi, kwa cheo chake alichonacho cha kiserikali (naibu Mwanasheria Mkuu) hauruhusiwi kujihusisha na mambo ya kisisasa au kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa, sasa anapoenda kuchukua fomu za kugombea Uspika kwa mgongo wa CCM hili hali bado ajatoka serikalini hilo ni kosa
Kwani mkuu unafikiri watumishi wa umma hawana vyama? Akikosa nafasi ya kisiasa anarudi kwenye utendaji ambacho hakiruhusiwi ni kuonesha maslahi ya Chama kwenye utendaji basi.Tupatupa naomba utusaidie kidogo. Huyu mtu kaomba nafasi ya kugombea Uspika kwa kupitia CCM, Hapo inamaanisha yeye ni kada wa chama. Madaraka aliyonayo hayamruhusu kujidhihirisha kuwa ni kada wa chama. Sasa jee akiukosa huo Uspika, jambo ambalo ni dhahiri atarudi tena kwenye ofisi yake ya Naibu Mwanasheria mkuu wa serikali?
Jee iwapo atarudi na jambo hilo likapotezewa kama ilivyo kawaida ya serikali hii ya ccm, sasa kesho na kesho kutwa akijitokeza kiongozi mwingine wa serikali eitha Katibu mkuu, Kamishna au mwenye wadhifa wowote akagombea nafasi yeyote ya juu inayodhaminiwa kichama kwa kupitia Chadema au CUF na akashindwa ataruhusiwa kurudi kazini kwake?
Huyu atakuwa anabambikizia wapinzani kesi kwa kutumia nafasi yake,atoke hapo kabla moto haujawaka,awaachie wanasheria wengine,wapo wengi tu halo na isitoshe yeye kaletwa hapo na mafuriko,angekuwa kalelewa na hiyo ofisi asingethubutu kufanya hivyoKwani mkuu unafikiri watumishi wa umma hawana vyama? Akikosa nafasi ya kisiasa anarudi kwenye utendaji ambacho hakiruhusiwi ni kuonesha maslahi ya Chama kwenye utendaji basi.
HapNa sidhani kama inahusiana na kifungu gani. Ni kutokana na mfumo wetu wenye kuleta mkanganyiko wa mihimili mikuu ya dola, yaani Serikali (Executive) mtendaji mkuu wa nchi, kisha Mahakama (Judicial) ambapo maswala ya haki na sheria huingia hapo,na mwishoni ni Bunge (Legislative) kama chombo cha kutunga sheria na kuisimamia/kuishauri serikali). Mwanasheria wa serikali ni mtumishi wa serikali katika maswala ya kisheria (ni mshauri mkuu wa serikali), Sasa tunaposikia ameingia kugombea uspika hapa kunakuwa na "ninafahamu" nyingi sana ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa "sintofahamu" kama ilivyo kwa baadhi ya wabunge (wako bungeni kama wabunge), na pia wako serikalini kama mawaziri. Duh, hapa kazi bado mbichi.Kifungu gani cha sheria au kanuni kinamkataza kuwania hiyo nafasi?
Hujajibu swali.acha maneno mengi.taja kifungu cha sheria au kanuni inayomkataza kuwania hiyo nafasi.
unachanganya uteuzi wa kisiasa na wa serikali.haya mambo yapo kila mahali mfano chadema kuteua viti maalum ilhali bado ni ccm ajabu kabisa.
Kifungu gani cha sheria au kanuni kinamkataza kuwania hiyo nafasi?
Mleta mada ulitaka afanyeje sasa wakati sheria hazirusu mgombea binafsi ni lazima apitie chama cha siasa na kwa vyovyote vile unajua angechagua chama tawala ili aendelee kulinda ajira yake kama ataukosa uspika. yeye binafsi anajiona anauwezo wa kuwa Spika asizuizwe kutimiza ndoto yake tunajua watumishi wengi wa ngazi za juu ni makada hili halina ubishi kwa kuwa amejitokeza lisiondoe huo ukweli. Binafsi namuona anauwezo na atafika mbali. a
Kuwa Spika wa Bunge la JMT sio lazima utokane na chama fulani cha siasa. Unaweza kuwa mgombea huru.