Search results

  1. Edwardo Ommy

    Website inauzwa

    Habari Wana jamii. Habari ndugu jamaa na marafiki Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website ya habari(newsportal) iliyokamili kabisa inauzwa Kwa matumizi binafsi, kampuni na kadhalika Kwa Bei ya 330k. Ipo video preview inayoonyesha all capable feature...
  2. Edwardo Ommy

    Vitabu vya mifugo ya ngurue

    Karibu ujipatie kitabu chenye toleo la kwanza na la pili kwa pamoja kinachotoa mwongozo wa ufugaji wa ngurue kuanzia ujenzi wa mabanda, vipimo vyake mbegu sahihi ya kuanza nayo na hata uzalishaji wake... Utajipatia kitabu hiki kwa elfu kumi na saba tuh 17k. Mawasiliano 0718982463
  3. Edwardo Ommy

    Vitabu vya mifugo ya ngurue wenye tija

    Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea. Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la kwanza na la pili. Mawasiliano 0718982463
  4. Edwardo Ommy

    Car4Sale Toyota hiace inauzwa

    Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja. Mawasiliano 0718982463.
  5. Edwardo Ommy

    Gari ya kukodi inahitajika

    Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni. VIGEZO 1. Gari iwe na dereva wake. 2. Dereva atalipwa na mwenye gari. 3. Tani 3. 4. Gari itakodiwa kwa mwendelezo na malipo ni kila baada ya mwezi. 5. Kiwango cha siku ni makubaliano kutegemea na...
  6. Edwardo Ommy

    Natafuta gari la kukodi

    Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni. VIGEZO 1. Gari iwe na dereva wake. 2. Dereva atalipwa na mwenye gari. 3. Tani 3. 4. Gari itakodiwa kwa mwendelezo na malipo ni kila baada ya mwezi. 5. Kiwango cha siku ni makubaliano kutegemea na...
  7. Edwardo Ommy

    Canter for sale..

    Wakuu ipo gari aina ya Canter inauzwa kwa bei ya M18 ikiwa bado ni nzima kabisa na haina udalali wowote, karibuni My number. 0714 664 520
  8. Edwardo Ommy

    Car4Sale Gari aina ya Canter inauzwa

    Wakuu ipo gari aina ya Canter inauzwa kwa bei ya M18 ikiwa bado ni nzima kabisa..na haina udalali wowote karibuni My number. 0714 664 520
  9. Edwardo Ommy

    Nukuu fikirishi kutoka kwenye kitabu cha ”The Monk who sold his ferrari”

    Nimepata bahati ya kusoma vitabu mbalimbali mutoka ndani pamoja na nje ya nchi ila kwa leo ningependa nikukaribishe kuelewa nukuu muhimu alizotumia mwandishi Robin S. Sharma Hapa zipo nukuu alizotumia kushawishi wasomaji wake kuzidi kuvutiwa na utunzi wake..nami nitazileta jukwaani baadhi ya...
  10. Edwardo Ommy

    Uaminifu

    Uaminifu ni nini ? (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: faithfulness) ni tabia njema ya mtu inayomfanya akubalike kwa wengine hata wakampatia dhamana ya pesa au mamlaka fulani. Katika Biblia, Hosea ni kielelezo cha uaminifu wa mume kwa mke wake. Mchoro mdogo wa mwaka 1340 hivi katika...
  11. Edwardo Ommy

    Ntafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia

    Ni siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu. Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo. Lengo ni kutafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia zijazo. Edwardo...
  12. Edwardo Ommy

    Hizo Ndizo Mbinu 5 Za Kukupa Maisha Ya Mafanikio:-

    1. Kuwa na nidhamu binafsi. Ili kupata mafanikio makubwa unayoyahitaji sio suala la kufanya kazi kwa bidii tu, zaidi unachohitaji nikuwa na nidhamu binafsi ambayo itakuongoza kwenye malengo yako. Watu wengi hawana nidhamu binafsi kitu ambacho kinapelekea wengi ndoto zao zinaishia kati. Ni muhimu...
  13. Edwardo Ommy

    Haya ndio mambo Muhimu ili uwe muigizaji mzuri wa Filamu

    Ni swali ambalo mara nyingi naulizwa sana na watu wanaogiza au wenye matamanio ya kuigiza. Jibu langu huwa ni ndefu na linaloshirikisha sekta nyingi sana za filamu. Secta zenyewe ni kama uandishi(miswada na utunzi wa stori), uongozaji(directing), upigaji picha, utayarishaji(production) na...
  14. Edwardo Ommy

    House4Sale Nyumba inauzwa mil.50

    Hiyo nyumba inauzwa ipo kimara suka ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master na jiko store public toilet na sitting room na dinning Room eneo lina ukubwa wa 25x27 Bei milioni 50
Back
Top Bottom