Search results

  1. Chendembe

    Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Tofauti ya Ni maturity. Diploma inamjenga mtu kukua Na kufanya Jambo (kutenda) Zaidi kuliko advanced schools.
  2. Chendembe

    Sio ajabu Simba wakamrudisha Erasto Nyoni.

    Lolikuwa kosa la kiufundi kumwacha Nyoni. Kuteleza sio kuanguka, wamrejeshe tuu
  3. Chendembe

    NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Hakika ni hatari kubwa. Na sasa mchezo umeigwa kwenye vyeti vya kuzaliwa. Utaratibu mpya wa kuvipata imekuwa fursa kwatendaji.
  4. Chendembe

    Jean Othos Baleke angeacha ule Upumbavu wake ambao Uliwatoa kwa muda Wachezaji Mchezoni Al Ahly FC wasingepata lile Goli lao la Pili

    Nadhani Bingwa umeshindwa kung'amua jambo katika ili. Jamaa walichungulia na kubaini kuwa angewadhuru kupelekea kufanyiwa jambo kubwa. Mm niliona Baleke na Konde boy ndio ambao walipaswa kufunga magoli na yasingerudi. Kwakuliona ilo jamaa wakafanya yao
  5. Chendembe

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Mauzo ni jambo moja, kuingia ni jambo jingine ndugu. Waipendao Simba wanaweza lipia kuchangia Timu na wasiende uwanjani. Pia, kuna kuchelewa.
  6. Chendembe

    Kamata kamata ya mkaa na wauza mkaa kwenye stoo za wauza mkaa mjini ni uonevu

    Hii kitu mkaa, inaichafua Serikali. Kuna utofauti mkubwa kati ya mipango na hali halisi ya maisha ya watanzani. Wakati ni hakimu.
  7. Chendembe

    Naumia sana kuona vipaji vikubwa vinafia Simba kwa kusugua benchi tofauti na watani, sio sawa hata kidogo!

    Ukweli umenena. Kuna mechi unaona kabisha shabalala au kapombe wamechoka saana. Lakini bado hawapumzishwi.
  8. Chendembe

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Ndugu tambua madarasa hayamaanishi kuwa na akili.
  9. Chendembe

    Wapinzani msimwamini Dkt. Slaa

    Mroma yupo kazini. Nilishaga mpuuza toka alipounga juhudi enzi za Roma. Wanataka wao tu ndo waongoze nchi
  10. Chendembe

    Lile pira sisi hatujazoea

    Wanaojuq mbinu za kucheza mpira kuringana na mfumo wa mashindano wanemuelewa Robatn. Gemu ilichezwa kwa mbinu kubwa ya mashindano ya mtoano.
  11. Chendembe

    Lile pira sisi hatujazoea

    Ni kweli. Maandalozi ya Timu yafanyike katika viwanja vinavyofanana na mazingira yetu
  12. Chendembe

    Nililoliona kuelekea Simba Day

    Kwao wanaita ivyo, Mie naweza sema ni Bango
  13. Chendembe

    Nililoliona kuelekea Simba Day

    Pamoja na mapenzi ya dhati kwa Simba na juhudi za wapenzi hao, nimesikitika kuambiwa mwenyekiti wao aliesimamia ujenzi wa bango Amefariki baada tu ya kukamilisha ujenzi huo
  14. Chendembe

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Mwenyezimungu ajibu dhamira ya moyoni mwako, InshaAllah
  15. Chendembe

    Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

    Hapana, zimepita yanga nyingi mzuri zaidi ya hii. Viwango vya soka duniani vimeshuka kupelekea vibovu kuwa viziri
Back
Top Bottom