NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

Tukiongea kuhusu intelligence ya nchi tunaonekana siyo wazalendo NIDA ni sehemu sensitive lakini cha kushangaza ukiwa na laki4 au 5 kesho yake unaletewa kitambulisho chako mpaka nyumbani yani ata foleni ukai kuna wasomali na wakenya kibao wamekuja juzi tu sasa ivi wao na familia zao wanavitambulisho OG vya NIDA ..mwenzangu na mie utaambulia namba tu tena ni ya kusubiri baada ya wiki 2 .. kuna Wilaya Moja apa dar mkijiorganize watu kumi mkitoa 15k kila mmoja yani ile kufika Home jioni tayari upo kwenye system namba yako ya NIDA tayari ..TISS wapo kazi yao sijui ni nini kama NIDA inachezewa ivyo vipi uko sehemu nyingine.
Usalama wa taifa ni toilet paper ya ccm

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.

Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
Hakika ni hatari kubwa. Na sasa mchezo umeigwa kwenye vyeti vya kuzaliwa. Utaratibu mpya wa kuvipata imekuwa fursa kwatendaji.
 
NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.

Raia wazawa waliojiandilisha 2018 wana namba pekee hadi sasa na kadi wanapigwa danadana hazija printiwa.

Cha kushangaza wageni wote wawe wanapewa vitambulisho vya ukaazi au vya uraia vya magumashi au vya halali ila wote wana vitambulisho na sio number.

Wahindi wote wana vitambulisho na sio number, wahamiaji haramu wana vitambulisho vya uraia na sio number.

Kuna raia mmoja ni Mkenya sijui alifanya fanya vipi akajiandilisha NIDA wanajua utaratibu wao wanao tumia kuwapa watu wasio raia Vitambulisho vya Uraia,Sasa huyo Raia amejiandikisha mwezi wa 6 mwaka huu,na tiyali ana kadi ya kitambulisho.ELewa kwamba kajiandikisha mwaka huu mwezi wa 6 ila NIDA wameisha mpatia kitambulisho.

Raia wanasafa tangia mwaka 2018 kadi zao hazijawahi printiwa.ila kuna watu wao wanakuja nyuma tena kagumashi na wanapewa kadi.

Sasa je raia wote na wao wanyoeshe mkono kwa stafu wa NIDA ili wapate kadi?

Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
Kwanza elewa kwa mgeni kuwa na kitambulisho sio kosa, sharti ajiandikishe kama mgeni
 
Utakuww wewe ni mjinga,kwani mimi sielewu aina za vitambulisho? nazungumzia both ila sana Vitambulisho vya Uraia,Wageni wana vitambulisho vya uraia sio vya ukaazi.
 
NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.

Raia wazawa waliojiandilisha 2018 wana namba pekee hadi sasa na kadi wanapigwa danadana hazija printiwa.

Cha kushangaza wageni wote wawe wanapewa vitambulisho vya ukaazi au vya uraia vya magumashi au vya halali ila wote wana vitambulisho na sio number.

Wahindi wote wana vitambulisho na sio number, wahamiaji haramu wana vitambulisho vya uraia na sio number.

Kuna raia mmoja ni Mkenya sijui alifanya fanya vipi akajiandilisha NIDA wanajua utaratibu wao wanao tumia kuwapa watu wasio raia Vitambulisho vya Uraia,Sasa huyo Raia amejiandikisha mwezi wa 6 mwaka huu,na tiyali ana kadi ya kitambulisho.ELewa kwamba kajiandikisha mwaka huu mwezi wa 6 ila NIDA wameisha mpatia kitambulisho.

Raia wanasafa tangia mwaka 2018 kadi zao hazijawahi printiwa.ila kuna watu wao wanakuja nyuma tena kagumashi na wanapewa kadi.

Sasa je raia wote na wao wanyoeshe mkono kwa stafu wa NIDA ili wapate kadi?

Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
Hizo nida zinge Rudi kwenye serikari za mitaa ingekuwa sawa hao wengine uizi tu
 
Kubwa kuliko zote la NIDA ni hili la mtu mmoja kuwa na vitambulisho viwili ama vitatu.
Nina rafiki yangu ana namba nne za simu ambazo zote zimesajiliwa.
Maajabu ni kama ifuatavyo;
Namba ya 1 majina ni G.B.A
Namba ya 2 majina ni G.B.H
Namba ya 3 majina ni G.B.M
Namba ya 4 majina ni N.B.A

Hii inawezekanajee!!??
 
Back
Top Bottom