Lile pira sisi hatujazoea

Pettymagambo

JF-Expert Member
Aug 21, 2017
1,427
7,915
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani pira mawazo, wasiwasi, mashaka, bora liende, hemweluhemwelu, raha hakuna, pira dakika ziishe hatujazoea jamani.

Huyu Kocha ananini na Saidoo, Bocco, pamoja na Moses? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndio tupangiwe Mamelod kwenye Super Cup? Tutayaoga dadeq!

Kwanini viongozi wa Simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?

Sisi tumezoea pira biriani, udambwidambwi, minyamanyama, peleka moto, na pumzi ya kifo.

Niseme wazi, jana Yanga walijitakia wenyewe kupoteza Ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya Bocco na Ntibazooo.

Yaani kama vipi timu apewe Mgunda kabisa, sina imani na Robhaaati.
 
1691987039519.png
 
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?

Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,

Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?

Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.

Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.

Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.
Mpaka Sasa sijui tatizo ni kocha au Aina ya Wachezaji, Ila bila ushabiki kazi bado ni mbichi.
 
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?

Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,

Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?

Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.

Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.

Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa mtani kalala na viatu😂😂😂
 
Hakika pira mbovu kabisa! Mgunda alikuwa anaficha makosa ya Huyu Mbrazil sasa yupo na timu yake Pira bovu kabisa
 
inawezekana uwanja ulituathiri pia aina ya kikosi kilivyopangwa mtu kama Boko hawezi kutuliza mpira , Mzamiru tunajua uchezaji wake.
 
Mimi pia nmeliona hilo
Nasubiri turudi kwenye ligi nione simba ikicheza viwanja vizuri itachezaje
So far mpaka sasa tatizo letu la kushindwa kukusanya alama 3 mikoani nahisi litaendelea kutuandama
 
Kanywe kwanza dawa zako
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?

Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,

Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?

Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.

Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.

Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.
 
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?

Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,

Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?

Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.

Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.

Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.
Huyu Saido si ndo msimu ulioisha tulikuwa tunamtukuza? Si ndio huyu alilingana magoli ya kufunga na mzee wa kutetema wa Utokoloni?

Yani mechi moja tu tunamshushia heshima namna hii???

Mbingu utaisikilizia redioni wallah
 
Pamoja na Kocha,. Tatizo kubwa la timu yetu, ni viungo wa kati, Mzamiru na Kanoute wanapambana lakini uwezo wao unatia mashaka!
Tatizo hili ni la miaka misimu mitatu Sasa , wanao sajili wameshindwa kulitatua!
Tumesajili washambuliaji wengi kwingine tukasahau!
Timu Bora inajengwa na viungo na beki line!

Mshambuliaji anaweza kuwa Moja
au wawili
 
Back
Top Bottom