Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,365
- Thread starter
- #41
Uongo upi? Hukuwa uwanjani tulia dawa ikuingieHahaha, Ushabiki unakufanya uwe na uongo uongo wa kitoto sana.
Uongo upi? Hukuwa uwanjani tulia dawa ikuingieHahaha, Ushabiki unakufanya uwe na uongo uongo wa kitoto sana.
Unapouza tiketi lengo ni kukusanya mapato. Simba day ni tofauti na ile mechi ya ufunguzi yenye viongozi wa kidunia pale. Hata gharama za maandalizi hazifanywi na simba kama ilivyo simba day. Sio siku ya simba ile.Leo lengo limegeuka sio kujaza Uwanja tena kama ilivyokuwa Simba Day bali ni mapato?
Mbona unajichanganyaUnapouza tiketi lengo ni kukusanya mapato. Simba day ni tofauti na ile mechi ya ufunguzi yenye viongozi wa kidunia pale. Hata gharama za maandalizi hazifanywi na simba kama ilivyo simba day. Sio siku ya simba ile.
Kwa hiyo Simba Day hamkuuza tickets mlitoa bure?Unapouza tiketi lengo ni kukusanya mapato. Simba day ni tofauti na ile mechi ya ufunguzi yenye viongozi wa kidunia pale. Hata gharama za maandalizi hazifanywi na simba kama ilivyo simba day. Sio siku ya simba ile.
Sawa mhakiki? Ushahakiki hakukuwa na sold out, umehakiki sikuwepo uwanjani. Hahaha.Uongo upi? Hukuwa uwanjani tulia dawa ikuingie
Huelewi nini boss?Mbona unajichanganya
Ile sio simba day boss?Kwa hiyo Simba Day hamkuuza tickets mlitoa bure?
Weka kavideo kaushahidi...kama hauna kavideo jitukane tusi kubwa kuliko yote.Mtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
Safi sana. U-nyumbu siku zote unastahili kufanyiwa hivi. Vijana kwa wazee, wake kwa waume, nchi nzima imetekwa kimawazo inashabikia mpira huku raslimali za nchi zinapigwa.... Na hapa sisemi watu wasishabikie mpira kwani hata mimi ni mshabiki, ila nakataa ule ujinga wa CCM kutumia wafanyabiashara maponjoro wakuja kupumbaza wananchi wabaki ''wanachezea'' mpira kama mtoto mdogo wanapopewa mdoli huku mafisadi wakifanya yao..Hii ndio sababu ilinifanya nisiende uwanjani, siku ya Simba day nilizuiwa nikiwa na tiketi wakasema uwanja imejaa.
Kama lengo ni mapato, kwanini huwa mnawasema Yanga endapo mataasisi zikinunua tiketi kwa ajili ya mashabiki?Lengo ni mapato.
Boss kama lengo ni kujaza tu watu si unasema ni bure watu wanajaa.
Ukitaka kuhakiki kama tiketi zote ziliuzwa unahakiki taarifa za mapato.
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.
Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Mtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
Picha za saa 6 MCHANA.
Uwanja ulijaa na hakukua na kiti wazi.Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.
Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Jina linasadifu AKILI na matendo.Unamfuatilia tapeli ka Ghana!!!