Search results

  1. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kamanda huwa hakuna muda maalumu, inategemea na watakavyoamka.
  2. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hahahaha! Duh! Prof huwa unanivunja mbavu sana na comments zako.
  4. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kamanda msomi, naomba utupe somo kidogo. Jamaa wa MD wanakunja ngapi kwa mwezi?
  5. HS CODE

    Natafuta Chumba cha 100,000/miezi mitatu

    Hongera! Uzi mzuri sana.
  6. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimekuelewa boss wangu.
  7. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kamanda wewe umeshakuwa mtumishi wa umma, mbona umeanza mapema sana kuwatukana utakaowatumikia?
  8. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kitu kikubwa naweza nikatoa ushuhuda hata mahakamani ni kwamba ukiwa mchangiaji kwa kusaidia watu kwa namna yoyote kwenye huu uzi, uwezekano wa Mungu kusikia maombi yako ya placement unaongezeka. Huu uzi unabaraka ndugu zangu.
  9. HS CODE

    Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Officer kitengo cha michezo ya bahati nasibu hongera! Mchango wenu kwenye hili taifa ni mkubwa sana.
  10. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Prof. Kwa macho yangu nimeshuhudia watu wameandaa party ya ghafla ili kusherehekea kuingia kwenye mzinga wa asali. Maana TRA ni mzinga wenyewe, kwa sababu kazi ya hawa maafisa ni kucheza na nyuki moja kwa moja, na sio pipa la asali. Japo dogo langu aliambiwa irrelevant qualifications pamoja...
  11. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wawakilishi wa uzi mliofanya Oral za TRA, tupeni mrejesho ili tuone kama tunapongeza au tunalaumu. Nimesikia madogo wamepokea email za kupata Kazi huko.
  12. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pengine watoto wao hawako kwenye hizi foleni za kusaka ajira.
  13. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hicho ndicho kimenishtua naona mauza uza ni yale yale tu. Halafu vuta picha taasisi inadili na kutafuta wafanyakazi wake tu lakini inachukua muda kiasi hiki. Je ingekuwa wanatafuta wafanyakazi wa taasisi kumi ingekuwaje!
  14. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Niko pamoja na wewe kakaaa.
  15. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ila kama taasisi moja moja kama TRA nao placement wanachelesha kiasi hiki kwa mliofanya, naanza kuwa na wasiwasi ni either kinachosababisha kuchelewa kwa placement kiko nje ya mamlaka ya utumishi au ni labda huu ucheleweshaji ni wa makusudi kuna watu wanafaidika nao.
  16. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sawa ndugu yangu umeongea kweli tupu. Masahihisho madogo ni kwamba leseni ni optional ila ni muhimu kwa ulimwengu wa sasa. Endapo hali itakuruhusu, tafadhali jaribu kuitafuta. Pole pia kwa unayoyapitia, ila jitahidi yasikufanye kuwa mnyonge wala kutia huruma kwa sababu dunia inaukatili mwingi...
  17. HS CODE

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    JKT tulikuwa tunaita mapuuza. Mkuu una mapuuza sana. Naomba radhi kama nitakukosea ila ni aibu msomi kukubali kukosa utambulisho wa aina yoyote ambao ni rasmi.
  18. HS CODE

    Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Hakuna mwenye nafuu kiongozi. Kila mtu anadhani wenzake wana afadhali.
  19. HS CODE

    Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Hahahahaha! Nimekupata ndugu yangu, yani umemaanisha mtu achague mwenyewe kuja na ndoo kubwa au ndogo. Akiamua kujipunja mwenyewe wewe haikuhusu.
Back
Top Bottom