Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tunasubiri tuone lakini haziji

Prof. Kwa macho yangu nimeshuhudia watu wameandaa party ya ghafla ili kusherehekea kuingia kwenye mzinga wa asali.

Maana TRA ni mzinga wenyewe, kwa sababu kazi ya hawa maafisa ni kucheza na nyuki moja kwa moja, na sio pipa la asali.

Japo dogo langu aliambiwa irrelevant qualifications pamoja na kufaulu, lakini kilichonifariji ni kuona vijana wachache wasiopungua 10 ninaowajua hawana ndugu wala msaada wowote wakubebwa nao wametumiwa e-mail yakupata kazi.

Hebu kama na humu mpo mliopata tupeni mrejesho wakuu ili tuone hali halisi ya matokeo kiujumla.
 
Nimezikuta mahali
IMG-20231204-WA0005.jpg
IMG-20231204-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom