Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila kama taasisi moja moja kama TRA nao placement wanachelesha kiasi hiki kwa mliofanya, naanza kuwa na wasiwasi ni either kinachosababisha kuchelewa kwa placement kiko nje ya mamlaka ya utumishi au ni labda huu ucheleweshaji ni wa makusudi kuna watu wanafaidika nao.
Yah ! Ni kweli mkuu , unajua hai make sense kabisa hii kitu mzee
Yaani kwa kweli imekuwa mwiba hasa kwa watafuta ajira kupitia mfumo wa PSRS
 
Ila kama taasisi moja moja kama TRA nao placement wanachelesha kiasi hiki kwa mliofanya, naanza kuwa na wasiwasi ni either kinachosababisha kuchelewa kwa placement kiko nje ya mamlaka ya utumishi au ni labda huu ucheleweshaji ni wa makusudi kuna watu wanafaidika nao.
wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kile
 
Hicho ndicho kimenishtua naona mauza uza ni yale yale tu. Halafu vuta picha taasisi inadili na kutafuta wafanyakazi wake tu lakini inachukua muda kiasi hiki. Je ingekuwa wanatafuta wafanyakazi wa taasisi kumi ingekuwaje!
 
wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kile
Nchi inaendeshwa kwa propaganda hii we acha tu , mfumo wa PSRS ni mzuri ila mauzauza ya kuchelewesha Placement Ndio shida na ndio inatumika kama point ya hao taasisi ,wakati nao ni Madudu tupu .
Mimi kilio changu always ni psrs kufanyia kazi na kutokomeza hili tatizo la kuchelewesha kutoa Placement ,atleast WA deal na hili kwanza , ingawa tunajua pia hata kuita interview ,sahili nyingi inachukua muda mrefu pia
Tatizo sugu la kuchelewesha Placement ni mwiba na inaumiza sana
 
Shida Siasa inaingia kwenye Taaluma ndo matokeo tunayaona......
Waziri anasema lake huku katibu mkuu nae analake anasema hapo humuelewi nani mkwel
Kama vile hawaelewi PSRS vile walisimamisha kuajiri miaka 5...
 
Back
Top Bottom