Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 852
- 1,905
Acheni ufala kwani hizo kada hazistahili kupata kazi .Ni mwendo wa madereva na wauguzi + record management
Wanakera kichizi
Acheni ufala kwani hizo kada hazistahili kupata kazi .Ni mwendo wa madereva na wauguzi + record management
Wanakera kichizi
Babu wamezidiiii Yani kila ukifungua Madereva na Manurse kwani Kada nyengine sio watu??? Ushawahi ona Mkeka wa Kada ya IT wapo Hata 7 kwenye Mkeka Mmoja??Acheni ufala kwani hizo kada hazistahili kupata kazi .
Yah ! Ni kweli mkuu , unajua hai make sense kabisa hii kitu mzeeIla kama taasisi moja moja kama TRA nao placement wanachelesha kiasi hiki kwa mliofanya, naanza kuwa na wasiwasi ni either kinachosababisha kuchelewa kwa placement kiko nje ya mamlaka ya utumishi au ni labda huu ucheleweshaji ni wa makusudi kuna watu wanafaidika nao.
wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kileIla kama taasisi moja moja kama TRA nao placement wanachelesha kiasi hiki kwa mliofanya, naanza kuwa na wasiwasi ni either kinachosababisha kuchelewa kwa placement kiko nje ya mamlaka ya utumishi au ni labda huu ucheleweshaji ni wa makusudi kuna watu wanafaidika nao.
Yah ! Ni kweli mkuu , unajua hai make sense kabisa hii kitu mzee
Yaani kwa kweli imekuwa mwiba hasa kwa watafuta ajira kupitia mfumo wa PSRS
wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kile
Dah ! Ni kukaza moyo ,ila mtihani sana kakaNiko pamoja na wewe kakaaa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣hao utumishi ni mipunga
Nchi inaendeshwa kwa propaganda hii we acha tu , mfumo wa PSRS ni mzuri ila mauzauza ya kuchelewesha Placement Ndio shida na ndio inatumika kama point ya hao taasisi ,wakati nao ni Madudu tupu .wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kile
Shida Siasa inaingia kwenye Taaluma ndo matokeo tunayaona......Nchi inaendeshwa kwa propaganda hii we acha tu , mfumo wa PSRS ni mzuri ila mauzauza ya kuchelewesha Placement Ndio shida na ndio inatumika kama point ya hao taasisi ,wakati nao ni Madudu tupu .
Mimi kilio changu always ni psrs kufanyia kazi na kutokomeza hili tatizo la kuchelewesha kutoa Placement ,atleast WA deal na hili kwanza , ingawa tunajua pia hata kuita interview ,sahili nyingi inachukua muda mrefu pia
Tatizo sugu la kuchelewesha Placement ni mwiba na inaumiza sana
Dah ! Ni kukaza moyo ,ila mtihani sana kaka
Basi tu
Aweke mkeka watu tunasubiri..............IT anauliza mna bando?
Leteni shuhuda wakuukuna pdf hukoo page 5 zimeshiba
Umetisha sana mkuu, japo kada niliokuwa naisubiri haijatokeakuna pdf hukoo page 5 zimeshiba