Hapa ndio gap la mishahara kati ya taasisi na wizara/ halmashauri huanzia. Taasisi zikiwa na mamlaka kamili zinaweza kuamua tu kujiongezea mishahara na bodi ikipitisha basi kazi imeisha. Halmashauri hadi bunge lipitishe sio leo.Habari inasema, Hazina wataruhusu mashirika kuajiri bila kuomba kibali UTUMISHI. Inahusianaje na PSRS kukaa pembeni? Mnataka muanze kupitishana watoto wa mjomba