Search results

  1. Maalim Raphael

    Je, huu si uhalifu wa kivita?

    Taarifa ya hivi punde ya Aljazeera imenukuu mamlaka za Ghaza kwamba hadi hivi sasa mashambulizi ya anga ya jeshi la Israeli (IDF) yamesababisha kuharibiwa kabisa shule 200, misikiti 47, makanisa 3 na makazi 200 elfu. Kwa Takwimu hizi haitoshi kuthibitisha kuwa Israeli imefanya uhalifu wa kivita?
  2. Maalim Raphael

    Azimio la Balfour(1917): Ushahidi wa kuporwa ardhi ya Palestina

    Azimio la Balfour lilikuwa ni taarifa ya umma iliyotolewa na serikali ya Uingereza mwaka 1917 wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia ikitangaza kuunga mkono harakati za Shirika la Kizayuni kuanzishwa kwa taifa la Kiyahudi katika ardhi ya Palestina. Ikumbukwe Uingereza wakati huo ilikuwa "super...
  3. Maalim Raphael

    Msimamo mkali wa Martin Luther dhidi ya Wayahudi

    Salaam wanajamvi! Leo nimekamilisha kusoma kitabu cha Martin Luther kuhusu Wayahudi kwa mara ya tatu. Kwa yaliyomo kitabuni nimegundua kuwa viongozi wa kikristo wanamtazamo mkali dhidi ya Wayahudi. Mnamo mwaka 1543 Luther alichapisha kitabu alichokiita "On the Jews and Their Lies" ambamo...
  4. Maalim Raphael

    Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "๐‘ผ๐’”๐’Š๐’๐’‚๐’๐’† ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’–...
  5. Maalim Raphael

    Raia wa Israeli wazidi kukimbia nchi kufuatia mzozo na HAMAS

    Huu ni umati wa Mayahudi wakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben Gurion wakitoroka mapigano kati ya Hamas na serikali ya kizayuni ya Israel. Hatukutarajia kuona scene km hii Kwakuwa Israel ni nchi iliyopiga hatua kubwa kwenye mambo ya usalama. Israeli ndio nchi inayopokea msaada...
  6. Maalim Raphael

    Mdude Nyagali atangaza tarehe ya Maandamano nchi nzima

    Nimeona barua ya tarehe ya leo 9 /20/2023 liyoandikwa na Mdude Nyagali maarufu kama Mdude Chadema ya kuitisha Maandamano nchi nzima kuanzia 9 Novemba, 2023 kupinga Mkataba wa Bandari na kudai Katiba Mpya. Baada ya kusoma barua hiyo nimegundua kuwa kijana hajajiandaa kwani hata barua yenyewe ina...
  7. Maalim Raphael

    Mwenye wasifu (CV) ya aliyekuwa katibu wa CWT Maganga M. Japhet

    Salaam! Naomba nitambue kuwa JamiiForums ni msitu mkubwa uliojaa viumbe hatari na inahisiwa hata Aliens kutoka anga za juu wapo humu. Baada ya utangulizi huo, natumai magwiji mtaingia jikoni kutuletea CV ya mtajwa hapo juu ASAP. Shukrani.
  8. Maalim Raphael

    Pongezi kwa Mwandishi na Mtangazaji chipukizi wa Habari za Michezo Yahya Abushehe

    Leo kipekee nampa maua yake mapema sana mtajwa hapo juu, kwa bidii na weledi anaouonesha kwenye kazi zake. Vijana wanaojituma kukuza taaluma zao wanahitaji kupongezwa na kuombewa dua ili wakue zaidi. Muhitimu wa mwaka 2023 wa Shahada ya Sanaa katika Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in...
  9. Maalim Raphael

    Je, Ufaransa Inaheshimu Uhuru wa Kujieleza?

    Salaam wanajamvi Kwa wafuatiliaji wa siasa za Ulaya bila shaka tumeshangazwa na kauli za hivi karibuni za viongozi wa Ufaransa kuwa ati nchi yao imejengwa kwenye misingi ya kuheshimu haki za Binadamu. Baada ya jarida la kifaransa, Charlie Hebdo kuchapisha katuni za dhihaka kwa mtume Muhammad...
  10. Maalim Raphael

    MAENEO NANE YA MTAALA NGAZI YA DARASA

    MAENEO NANE MUHIMU YA MTAALA NGAZI YA DARASA. Ulishawahi kuwaza kufanya kazi ya kutunga sera na kufanya maamuzi?. Ipi unadhani ingefaa kuwa sera bora ya elimu katika nchi yako? na vitu gani unadhani ni muhimu kuvizingatia wakati wa kuandaa programu ya mafunzo kwa shule ya msingi? Mtaala...
  11. Maalim Raphael

    Yupo wapi DAZ P?

    Wakuu habari zenu. Bila kupoteza muda, naomba anayefahamu alipo msanii wa zamani wa Ubongo fuleva "DAZ P" anijuze alipo. Huyu jamaa aliwahi kuvuma miaka ya 2000 na kibao chake "Kama unataka kuja Home". Nakumbuka 2004 jamaa walipiga shoo maskani Gairo akiwa na Temba,nami nikiwa dogo janja wa...
  12. Maalim Raphael

    Mwanafunzi unayemfundisha: a child study project

    Moja kati ya wajibu muhimu wa mwalimu wa shule ya msingi ni kuwafahamu wanafunzi wake ; kufahamu uwezo na udhaifu wao na kuwa na ufahamu fulani kuhusu historia ya makuzi yao ili kuweza kubuni mbinu mujarabu ya kuwasaidia kujifunza wawapo darasani. Kwa kweli hii si kazi rahisi hasa ukizingatia...
Back
Top Bottom