Maalim Raphael
Member
- Nov 23, 2018
- 49
- 87
Leo kipekee nampa maua yake mapema sana mtajwa hapo juu, kwa bidii na weledi anaouonesha kwenye kazi zake. Vijana wanaojituma kukuza taaluma zao wanahitaji kupongezwa na kuombewa dua ili wakue zaidi.
Muhitimu wa mwaka 2023 wa Shahada ya Sanaa katika Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) kutoka Muslim University of Morogoro, ameonesha umahiri mkubwa kuwazidi wakongwe wengi wa tasnia ya Habari wa Habari za michezo (Sports Journalism).
Wakati wahitimu wa elimu ya juu nchini wakisubiri ajira, wapo vijana ambao hawahitaji kutembea na bahasha za kaki kwakuwa wana potentials tayari. Miongoni mwa vijana hao ni Yahya Abushehe.
Nimekuwa nikimfuatilia kwa miaka mitatu na sasa nimejiridhisha kuwa kijana ni mahiri sana kwenye Sports Journalism Kwa kuwa na sifa zifuatazo:
1.๐จ๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฐ๐ต๐ฒ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ป๐ฒ๐ป๐ผ (A way with words). Katika hili kijana anachukua 10/10. Kazi nyingi alizofanya tangu akiwa chuo, kuanzia documentaries, sports interviews n.k zinathibitisha kuwa kijana ana uwezo wa ku-deliver error-free and grammatical correct information. Hakika kazi za Abushehe ni enthralling news piece na sio average news story.
2. ๐จ๐๐ฒ๐๐ผ ๐บ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ณ๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฐ๐ต๐ฒ๐๐ผ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐ถ๐ณ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐ถ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐ถ๐ณ๐ฎ:
Ukimsikiliza wakati anachambua taarifa za vilabu na wachezaji mbalimbali wa kimataifa utajua kuwa huyu ni sports journalist na nusu. Kuhusu taarifa za wachezaji wa ndani ndio usiseme,maana ameshawafanyia interview wachezaji wakubwa wa vilabu tajika pamoja na makocha mashuhuri km huyo anayeonekana kwenye picha.
3.๐ ๐ฏ๐ถ๐ป๐ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ๐ฎ๐ป๐ผ:
Kitu kingine kinachombeba ni kuwa ana uwezo mzuri wa kupanga virai na vishazi katika kazi zake. Aidha anauwezo wa kuzungumza Kiswahili fasaha na pia Kingereza hakimpigi chenga.
4.๐ช๐ฒ๐น๐ฒ๐ฑ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ท๐ถ๐ฎ๐บ๐ถ๐ป๐ถ
Miongoni mwa maana ya weledi katika taaluma ya Habari ni kufanya mambo kwa wakati. Kwenye hili nampongeza kijana huwa yupo eneo la tukio kabla ya muda wa kazi. Aidha kijana ni multi-talented kwakuwa anaweledi wa kutumia kamera, kuandika, kuchapa na kuhariri. Japo ni fresher kwenye tasnia ya habari na yupo kwenye internship phase, Abushehe anajiamini kiasi kwa asiyemjua anaweza kumdhania kuwa ni mtangazaji nguli wa miaka mingi.
5. ๐ ๐ฎ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐น๐ถ
Mwana taaluma yeyote lazima azingatie maadili ya kazi yake. Baadhi ya wanahabari huvunja miiko ya kazi yao kwa ajili ya pesa na kutafuta umaarufu. Tangu namfahamu Abushehe , ni mtu wa maadili. Mara ya kwanza namfuatilia alikuwa akiandaa vipindi vya uchambuzi kuelekea mechi za watani wa jadi, Simba na Yanga. Kitu ambacho sijawahi kujua hadi sasa ni yeye kuwa shabiki wa Timu gani kati ya timu hizi za Kariakoo. Uchambuzi wake huwa ni very objective.
๐ก๐ฎ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ถ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ป๐ถ๐ธ๐ถ๐ผ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ.
I'm proud of him for walking this road, for doing what's right for him.
๐๐ข๐ข๐ ๐๐จ๐๐