Maalim Raphael
Member
- Nov 23, 2018
- 49
- 87
Nimeona barua ya tarehe ya leo 9 /20/2023 liyoandikwa na Mdude Nyagali maarufu kama Mdude Chadema ya kuitisha Maandamano nchi nzima kuanzia 9 Novemba, 2023 kupinga Mkataba wa Bandari na kudai Katiba Mpya.
Baada ya kusoma barua hiyo nimegundua kuwa kijana hajajiandaa kwani hata barua yenyewe ina makosa kibao hasa ya kiuandishi kwa kuchanganya herufi kubwa na ndogo isivyo sahihi. Pia anaonekana ametengwa na viongozi wenzie wa CHADEMA maana jana alidai polisi walizuia mkutano wao kwa kuwa CHADEMA walilalamika kutumiwa wimbo wao.
Je, atafanikiwa? Time will tell.