Habarini wadau,
Samahani nilikuwa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za majumbani, je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo, na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani.
Nipo mkoani Dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
Habarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
Habari za mchana ndugu zangu,
Baada ya hizi changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maana nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata VETA nikapige level 1 had 2 ikibidi kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree.
Ndugu zangu naombeni ushauri je...
Habarin wadau,
Nimehitim diploma ya mambo ya utawala, sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha Dar es Salaam je kwa upande wa Dodoma nao pia wanatoa?
Msaada wadau kwa anaejua
Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia kweny kujiajiri wew kam ww unaweza kupiga issue kam zipi.Nawasilisha hoja kwenu wadau n mm ndio...
Nilikuwa naomba mnijuze kuhusu Join Instruction za Kozi za Afya kwa Vyuo vya Serikari, je vipi zimetoka au bado kwa anayejua naomba anijuze maan na dogo langu amechaguliwa Chuo cha Afya Kibaha. Pia, nikiangalia kwenye account yake ya NACTE uthibitisho naona hamna kipya asee.
Habarini wadau,
Nina dogo langu alimaliza form 4 mwaka jana na kupata division 1 ya 14, amechagulia chuo cha Kibaha kwa kozi ya Clinical Medicine na Tamisemi.
Swali langu ni kuwa je, kwa hiki chuo anaweza kupata ufadhili kutoka serikalini kwenye issue za ada pamoja na malazi?
Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo:
Civ - B
Kiswa - B
Hist - C
Geo - C
Engl - B
Engl in Literature - C
Phy - C
Chem - B
Bios - A
Math - B
Dogo hataki kwenda Form V, anataka kwenda chuo moja kwa moja kwa kozi za afya. Je yupo sahihi wadau au...
Inakuaje wadau,nilikuwa ninauliza hivi hiv hii koz ya urban and regional planning ndio ikoje,na je vipi kweny ishu za ajira kwa koz hii n changamoto au inakuaje.
Habarin,wadau mm ni mwanafunzi niliyemaliza form IV mwaka juzi nilikuwa ninatak kusom koz ya ICT kwa ngaz ya cheti,ila kuna kitu kinanitatiza maan kuna watu wananiambia hii koz n yeboyebo,watu wengi usihisome utaishia mtaani,naomben ushauri ndugu zangu.
Form iv nilipata hiv:
Civ-D...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.