Search results

  1. Sajunne

    Msaada: Chuo kinachotoa kozi ya clinical medicine ngazi ya cheti

    Habari ya asubuhi wakuu, Nahitaji msaada wenu tafadhali, naomba kufahamishwa chuo kinachotoa kozi ya clinical medicine kwa ngazi ya cheti. Mazingira ya chuo ni lazima kiwe Dar es Salaam pia ni bora zaidi ikiwa wilaya Kinondoni/Ubungo (Mbezi beach)
  2. Sajunne

    TFF na safari ya soka la Tanzania

    Hivi TIFUATIFUA mmefanya soka la Tanzania ni la wana kagera? Sawa mwakani sio mbali . Tukutane uchaguzi mwakani
  3. Sajunne

    Msaada tafadhari, kwani maisha nayaona magumu sababu ya afya yangu

    Wadau Habari zenu, Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 18-22 nimekuwa nikisumbuliwa na maradhi mbali mbali, typhod, malaria ,tumbo kujaa gesi , kutokupata choo, mwili wote unauma na maradhi hayo yamekuwa yakinisumbua mara kwa Mara, ni muda sasa na nimekuwa sina utendaji mzuri ktk shughuli...
  4. Sajunne

    "Msaada please"

    Habari zetu wadau. habari za siku nyingi, Nimeleta kwenu maada inayonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu sasa. Nimekuwa nikiugua typhody + malaria kila mara pasipo kupona kabisa na ninafuata kanuni zote za matumizi ya dawa za typhody na nipo makini sana na matunda pamoja na maji yasiyo chemshwa.
  5. Sajunne

    Msaada haraka

    Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
  6. Sajunne

    Msaada haraka

    Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
  7. Sajunne

    Msaada haraka

    Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
  8. Sajunne

    Chumba kinapangishwa hapa

    mada hii sio uongo wala utani, chumba kinapangishwa kipo ndani ya fensi kina hadhi ya kuitwa chumba pia kina geti la griri mlango wa kuingilia. gharama yake kwa mwezi ni bei ndogo sana na mtanzania mwenye kipato kidogo anaweza kupangishwa. na ni maeneo ya MBEZI BEACH ukishuka kituo cha makonde...
  9. Sajunne

    Mabasi ya sai baba ni uhuni ubabaishaji ktk mfumo wa uendeshaji wa magari yao.

    habari zenu wadau! wazima? Wadau mimi kilicho nifanya niwasabahi asubuhi asubuhi hii. JE SITI MOJA KUKATIWA TIKETI ZAIDI YA MARA MBILI NI TATIZO GANI? tatizo hili limenikumba asubuhi hii.
  10. Sajunne

    Elimu ya tanzania na watoto wa wakulima{maskini wa mali}

    Habari zenu wakubwa! Ebana mada iliyonifanya niilete mbele yenu ni inagusa watoto wengi wa maskini ndani ya nchi hii. Je wadau ninaomba kujua na kuelewa utaratibu mzima wa watu wanaofanya mtihani wa 4m four kama resiters, na pia maksi zao za ufaulu upambanuo wake uko vp? Maana suala hili ni zito...
  11. Sajunne

    Nashindwa nimuweke kundi lipi!, "penzi maslahi; au mengineyo.

    Wadau mimi ninajambo ambalo mwenzenu nashindwa kulifafanua na kulipatia ufumbuzi suala lifuatalo, Nina girl friend wangu anapenda sana kuchukua kitu chochote kizuri atakacho niona nacho, mfano juzi kati kuna cm mpya nilinunua alichokifanya aliomba atumie kwa muda, licha ya kuwa ana cm yake...
  12. Sajunne

    Ni ujio wa mara nyingine tena.

    Napenda kuwashukuru sana wadau wote walio changia mada yangu na wale ambao hawakubahatika kuchangia mnamo mwezi AGOSTI, ushauri wenu na mawazo yenu niliyazingatia na kuyafanyia kazi kwa ipasavyo. But nimerudi na muendelezo wa topic mpya kama sio mpya kwani ni kama mwendelezo. Yule girl...
  13. Sajunne

    Hivi fikra zangu zikinituma kuwa alikuwa ni kahaba zitakuwa kimakosa?

    Ni miezi kadhaa imepita toka niachane na huyo msichana, nilimpenda sana lakini yeye hakuonyesha ushirikiano juu ya pendo langu kwake, kwani alifanya chocho alichojisikia akijua kuwa sita kuja kumwacha. Hakupenda kuongea na mimi kwenye cm wakati wa usiku na mchana pia wakati mwingine, ila mpaka...
Back
Top Bottom