Nashindwa nimuweke kundi lipi!, "penzi maslahi; au mengineyo.

Sajunne

Senior Member
Jul 19, 2011
104
58
Wadau mimi ninajambo ambalo mwenzenu nashindwa kulifafanua na kulipatia ufumbuzi suala lifuatalo, Nina girl friend wangu anapenda sana kuchukua kitu chochote kizuri atakacho niona nacho, mfano juzi kati kuna cm mpya nilinunua alichokifanya aliomba atumie kwa muda, licha ya kuwa ana cm yake. Tulikubaliana baada ya wiki mmoja airudishe, lakini cha kushangaza kila ninapomuomba hiyo cm hataki kunipa na muda huo huo anaibua ugomvi. Bt nashindwa kumuelewa kabisa kwani kitu chochote anachochukua huwa harudishi nikimwambia anaibua ugomvi. Namthamini sana, na ninajitahidi kumpa kilicho ndani ya uwezo wangu lakini kwa anayonifanyia nashindwa kuelewa lengo lake kwangu. Wakati mwingine ninafikiri kama haniheshimu na mengine mengi. Je hebu toeni mchango wenu wadau kuhusu hili.
 
Unataka kwenda peponi bila kufa ? Starehe gharama babaa! We ung'wenye tu! mtotoz kuchukua huo mchina tena uliofungwa ruberband mashtaka Jf ! Je? Sio tuliochukuliwa Corolla na tumekauka! Utatuweka fungu gani ?
 
wenzie tumechukuliwa ma VX yetu na tumekauka tu,msela kachukuliwa cm tu analeta mashtaka jf.
 
Naaam! Wengine mijengo tena iliyo karibu na fukwe wamehonga! Kwa gharama ya hicho kipande kidogo cha nyama ambacho ukikikata na kukitupa kunako mzani hata gram 5 hakafiki ! Lakini kana impact ! incrideble !
 
Hivi kuna mtu ambaye anaweza akafanya jambo kwa kukurupuka? Msichukulie jambo rahisi sana mtu kufikia kuleta mada kwenu. Pia wadau mnataka mpaka niwaambie huyo demu kila nilicho mpa?licha ya cm, mimi mwenyewe ktk maisha yangu sijawahi kutumia cm ya mchina isiyokuwa na warantie ya kuanzia mwaka 1, na sio kama najipaisha ila huo ndio ukweli na siwezi nikanunua cm ya kutumia mimi isiyokuwa na internet, so mnaposema wadau kuwa cm ya mchina tu mada nimeileta jf, je mnataka niwaambie nivingapi nilivyo mpa huyo demu! Vyenye thamani zaidi hiyo cm. Bt yamenikuta na yananikuta mengi kwa huyo girl, pia kuhonga na kuchukua ni vitu sawa. Na cha mwisho kabisa wadau niliileta mada hii mbele yenu kwa upana mkubwa wa kuifikiria, bt mpaka sasa sijasoma ushauri,maoni ya mdau yaliyokikamilifu na mada.
 
Anaoneka ni mtu mwenye tamaa na pia si mtu wa kuridhika. Kama si hayo, basi atakuwa na wewe kimaslahi zaidi. Funguka kaka!
 
Hivi kuna mtu ambaye anaweza akafanya jambo kwa kukurupuka? Msichukulie jambo rahisi sana mtu kufikia kuleta mada kwenu. Pia wadau mnataka mpaka niwaambie huyo demu kila nilicho mpa?licha ya cm, mimi mwenyewe ktk maisha yangu sijawahi kutumia cm ya mchina isiyokuwa na warantie ya kuanzia mwaka 1, na sio kama najipaisha ila huo ndio ukweli na siwezi nikanunua cm ya kutumia mimi isiyokuwa na internet, so mnaposema wadau kuwa cm ya mchina tu mada nimeileta jf, je mnataka niwaambie nivingapi nilivyo mpa huyo demu! Vyenye thamani zaidi hiyo cm. Bt yamenikuta na yananikuta mengi kwa huyo girl, pia kuhonga na kuchukua ni vitu sawa. Na cha mwisho kabisa wadau niliileta mada hii mbele yenu kwa upana mkubwa wa kuifikiria, bt mpaka sasa sijasoma ushauri,maoni ya mdau yaliyokikamilifu na mada.

Sema hujapata 'majibu' unayoyataka wewe..

Kunakuwa na hoja iwapo huyo 'girl' kila siku anakushikia binduki halafu anakupora hivyo vitu unavyovitoa kwa kinyongo, si tu uhusiano wenu una matatizo bali wewe mwenyewe ni mzizi wa tatizo kwa kukosa ujasiri wa kuelezea hisia zako kwa huyo ''girl".

Pre-adolescence kaz kwelkwel.
 
Wadau mimi ninajambo ambalo mwenzenu nashindwa kulifafanua na kulipatia ufumbuzi suala lifuatalo, Nina girl friend wangu anapenda sana kuchukua kitu chochote kizuri atakacho niona nacho, mfano juzi kati kuna cm mpya nilinunua alichokifanya aliomba atumie kwa muda, licha ya kuwa ana cm yake. Tulikubaliana baada ya wiki mmoja airudishe, lakini cha kushangaza kila ninapomuomba hiyo cm hataki kunipa na muda huo huo anaibua ugomvi. Bt nashindwa kumuelewa kabisa kwani kitu chochote anachochukua huwa harudishi nikimwambia anaibua ugomvi. Namthamini sana, na ninajitahidi kumpa kilicho ndani ya uwezo wangu lakini kwa anayonifanyia nashindwa kuelewa lengo lake kwangu. Wakati mwingine ninafikiri kama haniheshimu na mengine mengi. Je hebu toeni mchango wenu wadau kuhusu hili.

pole sana kaka,huyo mdada hafai coz yupo kwako kimaslah na akitosha na anayoyataka wala hutamuona tena...tafakari chukua hatua
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Naaam! Wengine mijengo tena iliyo karibu na fukwe wamehonga! Kwa gharama ya hicho kipande kidogo cha nyama ambacho ukikikata na kukitupa kunako mzani hata gram 5 hakafiki ! Lakini kana impact ! incrideble !

mmmh.......mnaboa!!! Hivi kweli mtu angekuwa na shida ya hicho kitu pekee, angekuja kulalamikia tabia hapa?? Au angeshindwa kumuacha na kutafuta mwingine wa kumgea?? Mpaka amekuja hapa hataki kitu kimoja tu(*** as u have named it), anachotaka yeye ni kujua kama mpenzi wake anampenda kweli au anampendea tu hivo vitu vya thamani/ana tamaa ya vitu!! Mnanishangaza nyie mnaojidai mmehonga maVX, sijui corolla, kwa hiyo naye akusanye pesa akanunue aende kumhonga au?? Na kama hana afanye nini? Acheni hizo mazee, hata kama mna pesa heshimuni mawazo ya mwenzenu!
 
me nahisi wewe ndio chanzo.inaelekea umemuonesha kua bila yeye wewe si lolote.cha kufanya ni kukomaa arudishe alivyoazima hata kama atachukia.akisharudisha ndio mambo mengine yaendelee.penda kwa kipimo mkuu, usijitose mzima mzima maana ukifanya hivyo utageuzwa daraja
 
Mkuu girlfrnd wako anaelekea ni selfish sana..
Na hakuhurumii hata kidogo, sababu yaweza ikawa;-
1. Malezi, pengne kwao amekua akiamin mwanaume ndio kila kitu (atm, bank, n.k).
2. Inawezekana pia ni yupo kwako coz yeye hajiwezi, amejishikiza kwako mwenye uwezo.
3. Ni dalili za uchoyo, kutojali, kutokuheshmu, na kutokupenda kiukweli.
Ushauri ;- onyesha unachukia hivyo vitendo anavyofanya, na be serious, arudishe ndipo uamue kumpa au Lah..
 
Pole sn,hapa inawezekana ww ndio umelea haya matatizo inawezekana vp mpnz wako awe kila unachonunua anakitaka?alivyochua mwachie ila weka msimamo iwe marufuku kuchukua au kutaka kila unachonunua ww ndio mwanaume na ndio mwenye kuonesha uanamme wako heshima irudi,pili na ww timiza wajibu wako wa kumnunulia au kumpa hela anunue mahitaji yake km cm nzuri na mengineyo au ukijinunulia na yy mnunulie km hana.Ucpomuwahi kujenga utakavyo mapema mbelen atakusumbua sn.
 
Ni kweli kama ulivyosema hakuheshimu,pia yupo kihivyo.Yaani kama anavyokuonesha!
 
Watu tulilipishwa accomodation na stationary fees na wakasepa ,na tupo kimya.nimegundua ukipenda wanawake wengi ni shule tosha hakuna atakayekusumbua kishambashamba coz unausoma mchezo vizuri.
 
Hivi kuna mtu ambaye anaweza akafanya jambo kwa kukurupuka? Msichukulie jambo rahisi sana mtu kufikia kuleta mada kwenu. Pia wadau mnataka mpaka niwaambie huyo demu kila nilicho mpa?licha ya cm, mimi mwenyewe ktk maisha yangu sijawahi kutumia cm ya mchina isiyokuwa na warantie ya kuanzia mwaka 1, na sio kama najipaisha ila huo ndio ukweli na siwezi nikanunua cm ya kutumia mimi isiyokuwa na internet, so mnaposema wadau kuwa cm ya mchina tu mada nimeileta jf, je mnataka niwaambie nivingapi nilivyo mpa huyo demu! Vyenye thamani zaidi hiyo cm. Bt yamenikuta na yananikuta mengi kwa huyo girl, pia kuhonga na kuchukua ni vitu sawa. Na cha mwisho kabisa wadau niliileta mada hii mbele yenu kwa upana mkubwa wa kuifikiria, bt mpaka sasa sijasoma ushauri,maoni ya mdau yaliyokikamilifu na mada.
pole mwaya usipanic bs.... ushaur wangu mm bwana kaongee nae kuwa iyo tabia huipend ila ukipenda boga penda na ua lake including na tabia zake ivo bs kama anavyochukua havina impact kivele na economic situation yako muachie 2 ndio mapenz hayo kaka.
 
Back
Top Bottom