Search results

  1. G

    Hii ndio Bei ya unga wa sembe na dona nilipo

    Habari wakuu, hali ya maisha imezidi kuwa mbaya kiuchumia kwa baadhi ya raia wengi wa nchi hii. Pesa ikiwa haipatikani na ikipatikana hamna cha maana unachoweza kuifanyia... Nimekuwa nasikia kupanda kwa unga tu, jana nimepita mashine kununua unga kilo 25 kwa bei ya jumla na kukuta unga umepanda...
  2. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mmiliki wa bajaj 4, nahitaji kujua kampuni ambayo inajihusisha na kutoa huduma ya kufunga GPS kwenye bajaj, nalazimika kufanya hivi kutokana na wizi uliokidhiri wa vyombo hivi. Kwa wenye taarifa na bei za kampuni inayohusika na huduma hii anifahamishe tafadhali.
  3. G

    Nahitaji kampuni nzuri ya bima kwaajili ya Bajaj

    Habari ndugu zangu. Kama nilivyoeleza hapo juu nataka kukatia bajaj yangu bima kubwa tatizo sijui ni kampuni gani ya uhakika ambao siyo wa babaishaji pale mteja wao anapopata tatizo lolote. Naombeni ushauri wenu siangalii wanatoza % ya thamani ya bajaji bali uhakika wa kupewa stahili yangu...
  4. G

    app nzuri za kufuta duplicate contact's

    Habari wakuu, naomba kupata app nzuri ya android ya kufuta hay kuondoa merge contacts tafadhali, na contact zaidi ya 6000 sasa nimebilisha simu Ike kuweka account ya Google Tu contact zangu zimejirudia au kwenye jina Mika namba kujisave zaidi ya mara moja hadi kufikia 12,000 mpaka phonebook...
  5. G

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu. Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM" Alafu naweka...
  6. G

    Computer hii ni pasua kichwa (msaada tafadhali)

    Habari wakuu Kheri ya mwaka mpya. Nina computer yangu Hp Compaq (hp D330 ut) hii ndio kila kitu kwangu nikiaanisha ndio naitegemea kufanyia kazi zangu. mwezi ulio kipa ilianza tatizo lakuzima kila baada ya lisaa limoja kuzima kwenyewe nikwamba screen inazima na kusema no signal lakini cpu...
  7. G

    Jinsi ya kuandika barua ya Uchumba

    Salams Wana JF wenzangu! Kama mnavyo jua changamoto za maisha zimetufanya tuwe mbali na familia zetu, hivyo yanapo kuja mambo muhimu ambayo yanahitaji usaidizi wa kifamilia imekuwa shida sana kwa vijana wengi.... Mimi ni kiwa kama kijana ambaye nahitaji kuwa na mwenza wangu wa maisha nimepitia...
  8. G

    Natafuta Trackball ya Blackbery

    Jamani natafuta trackball ya blackberry mwenye nayo anitafute tafadhali, au mwenyeBlackberry Pearl 8100, 8110, 8120, 8130 Blackberry Curve 8300, 8310, 8320b lackberry 8800, 8820, 8830 na kuendelea nahitaji trackball tu.
  9. G

    Trackball ya Blackberry inahitajika

    Jamani natafuta trackball ya blackberry mwenye nayo anitafute tafadhali, au mwenyeBlackberry Pearl 8100, 8110, 8120, 8130Blackberry Curve 8300, 8310, 8320b lackberry 8800, 8820, 8830 na kuendelea nahitaji trackball tu.
  10. G

    Hii Mashine ina nichanganya MSAADA WENU TAFADHALI

    Habari wakuu? nimenunua photocopy mashine ya Nashuatec DSM620 tatizo nimeshindwa kujua inatumia Cartridge/Toner namba gapi, hivyo nimeshindwa kuitumia kwa kutokujua namba sahihi ya Toner yake... Nimejaribu kusearch kwenye mtandao naona toner namba 1230D ... Kama wiki mbili hivi nilikwenda...
  11. G

    Wa Machame wametoa wapi maendeleo haya?

    Machame ni sehemu ya vijiji vilivyo endelea kuliko vijiji vyote Tz. Tuna umeme miaka mingi sana wakati sehemu nyingine ambako ni makao makuu ha wilaya hawajui umeme.! Kati ya matajiri 17 Tz wawili wametoka Machame Wana maji safi na salama karibia kila nyumba na wale wasiyo na uwezo wakuvuta...
  12. G

    msanii wa bongo movezz abaka na kulawiti

    Juzi nimesikia habari kwenye kipindi cha heka heka kinachoongozwa na mtangazaji gea habibu kwamba kuna msanii kabaka na kumlawiti msanii mwenzie ama kweli tutackia mengi mwaka huu na maovu yao,,,mwenye updates kamili atushushie mapicha tumjue plzzzz
  13. G

    Blue Screen baada ya kuondoa virus

    Wakuu naomba msaada wenu, PC yangu ilikuwa imeshambuliwa na virus, nika scan na kupata virus wengi mno, baada ya kumaliza kuscan untvirus Avast ikanitaka ni restart mashine ili i-scan safe mode. Baada ya kufanya hivyo iliscan na kupata virus ambao walikuwa kwenye system file 32, na kunipa...
  14. G

    Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

    Mwana dada Shyrose Bhanji amemtolea uvivu Mzee Johni Chiligati alipo post kwenye ukurasa wake wa faacebook kauli mbiu yao ya "TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE!" Mwana Dada Shyrose akamwandikia mzee Chiligati maneno haya Hayo ni maneno makali sana kutoka kwa mwanadada Shyrose, ana...
  15. G

    Windows 7 Installation Problem

    Wana TEACH Nimeformat Laptop yangu HP Compaq 6720S ilikuwa na Windows 7 baada ya kuformat imekwama kwenye Expanding windows files (0%) Inaishia kwenye % haiendelei mbele na wala haileti error MSG yoyote Msaada wenu tafadhali MY system HP Compaq 6720S Pentium 4 Speed: intel Core 2 duo RAM...
  16. G

    Jinsi ya kubadilisha Display kwenye Min laptop

    Habari wakuu? Mimi ni mtaalamu kiasi wa computer, nina min laptop ya samsung n220plus ambayo imekufa display yake, nahitaji kuibadilisha, tafadhali naombeni maelezo yenu maana sijawai badilisha display za hivi vi min laptop. Pia nimejaribu kuingia kwenye website ya samsung hawajaweka namna...
  17. G

    Msaada wenu unahitajika wakuu

    Habari wakuu, nina laptop ya compaq hp nc6220 pentium m, nilikuwa naitumia pasipo na tatizo lolote , juzu niliitumia kuizima baada ya kumaliza kazi zangu. Jana naiwasha ina niletea error MSG (NON-Disk or disk error) nikajaribu njia zote nazozijua. Nimejaribu kutembelea website ya hp...
  18. G

    Tigo Error 619

    Habari wakuu? mimi ni mteja wa tigo kwa huduma ya internet, nimetumia huduma yao kwa takriba miezi miwili bila shida yoyote.....Toka jana nimekuwa napata usumbufu mkubwa mno wa net kuji-disconnect mara kwa mara na unapo jaribuku-dial-connection tena ina goma na kuleta error 619,ikidai port...
Back
Top Bottom