Tigo Error 619

gwambali

JF-Expert Member
May 10, 2011
230
76
Habari wakuu?

mimi ni mteja wa tigo kwa huduma ya internet, nimetumia huduma yao kwa takriba miezi miwili bila shida yoyote.....Toka jana nimekuwa napata usumbufu mkubwa mno wa net kuji-disconnect mara kwa mara na unapo jaribuku-dial-connection tena ina goma na kuleta error 619,ikidai port inatumika na imefungwa, hivyo nalazimika kusubiri dakika 5/10 iliniweze kuunganisha tena huduma hii... je ni mtandao wa tigo uko busy au umelemewa na wateja? au ndio mambo ya mvua na network kimeo?

Sehemu niliyoko napata full 3G network.

naomba maoni yenu kama kuna mtu amekumbana na tatizo kama hili.
 
Nilikumbana na hilo tatizo jana ni kaitupilia mbali line ya tigo na kuendeleza uchakachuaji kwa zantel... Zantel kwenye line zao za GSM MTANDAO NI BURE ili mrandi uwe na tsh 600 ya kukuunganisha kwenye mtandao.
 
Nini?--Hebu rejea tena!--mkuu weka wazi tufaidi sote.
 
Nilikumbana na hilo tatizo jana ni kaitupilia mbali line ya tigo na kuendeleza uchakachuaji kwa zantel... Zantel kwenye line zao za GSM MTANDAO NI BURE ili mrandi uwe na tsh 600 ya kukuunganisha kwenye mtandao.
vipi, speed inaridhisha?
 
Habari wakuu?

mimi ni mteja wa tigo kwa huduma ya internet, nimetumia huduma yao kwa takriba miezi miwili bila shida yoyote.....Toka jana nimekuwa napata usumbufu mkubwa mno wa net kuji-disconnect mara kwa mara na unapo jaribuku-dial-connection tena ina goma na kuleta error 619,ikidai port inatumika na imefungwa, hivyo nalazimika kusubiri dakika 5/10 iliniweze kuunganisha tena huduma hii... je ni mtandao wa tigo uko busy au umelemewa na wateja? au ndio mambo ya mvua na network kimeo?
Sehemu niliyoko napata full 3G network.

naomba maoni yenu kama kuna mtu amekumbana na tatizo kama hili.

hilo tatizo ni common sana, chakufanya ni kubadili USB port. mimi huwa nali solve namna hiyo
 
Nilikumbana na hilo tatizo jana ni kaitupilia mbali line ya tigo na kuendeleza uchakachuaji kwa zantel... Zantel kwenye line zao za GSM MTANDAO NI BURE ili mrandi uwe na tsh 600 ya kukuunganisha kwenye mtandao.

mkuuu unaelezaga mambo unshindwa kumalizia. umeulizwa swali hapa naona kimya na kule kwenye ku unlock blackbery nasubiri elimu yako.

thanks in advance
 
Shukrani kwa wote mlio toa maoni yenu.... nimefanikiwa kutatua tatizo langu kwa kuondoa autodial up zote na ku-create upya.
 
Back
Top Bottom