Habari wakuu Kheri ya mwaka mpya.
Nina computer yangu Hp Compaq (hp D330 ut) hii ndio kila kitu kwangu nikiaanisha ndio naitegemea kufanyia kazi zangu.
mwezi ulio kipa ilianza tatizo lakuzima kila baada ya lisaa limoja kuzima kwenyewe nikwamba screen inazima na kusema no signal lakini cpu inafanya kazi na uki-press botton ya start/off ataushilikie kwa dakika 10 haizimi hadi uchomoe power cable au kuzimia ukutani..
Na ukizima CPU ina waka ila hamna signal yoyote inayokwenda kwenye monitor. ili iwake ni lazima niiache hadi masaa matatu ya pite ndipo itawaka tena, na mchezo unakua huo huo...
Hivi majuzi haifikishi tena lisaa limoja ndio izime bali kwa sasa inazima baada ya dakika 2 tu baada ya kuwaka vizuri kabisa.
Hatua nilizochukua nimeifungua na kujaribu kucheck feni inafanya kazi nimekuta iko vizuri kabisa na mashine ndani haina vumbi kabisa. Nimebadilisha ram, Power Supply lakini wapi bado tatizo liko pale pale. na sina hakika kama ni processor...
Naomba mnipa msaada/ushauri wenu wakiufundi ili niwezekujua tatizo ni nini hasa.