Search results

  1. ndegeulaya

    Utapeli mwingine wa vodacom cheka-packages leo jumamosi 10/8/2013

    ... Ebu kila mtu a'shee' experience yake hapa if he/ or she ever had one to share wit us ...
  2. ndegeulaya

    Mtangazaji wa Taarifa ya Habari (TBC1) na Tai ya Chadema!

    Habari waungwana ? I must be honest with myself, kwa kweli leo nimeshangazwa sana na mtangazaji wa TBC1 Habari ya saa 1 asubuhi kwa kitendo chake cha kujitabanaisha na chama makini kwa kuamua kuvaa tai yenye rangi za bendera ya Chadema ndani ya Studio za TBC1. Nimeshangazwa na hilo, hasa...
  3. ndegeulaya

    To all JF Chit-Chatters Out there @ Past the Hour of 01:00 ...

    ... a beer is a beer, -being it a Safari Lager, Pilsner Ice, Tusker Premium or whatever you call it .... ! Discuss. (5%)
  4. ndegeulaya

    Bei yangu ni Mil. 10, haipungui Mia!

    Hivi hii nayo huwa imeekaje wazee wakubwa ? Muuzaji anauza nyumba yake kwa Mil. 10 ...! Dalali kamseti mnunuzi kwa Mil. 15 ...! Mnunuzi karidhia bei bila tatizo ...! Muuzaji anaona kaibiwa Mil. 5 ...! Source: Ze Comedy Show ...!
  5. ndegeulaya

    RomboDeluxe - a new local joint in A'town

    Haya hayaaa ....! kwa wale wazee wa ile mambo yetu ndani ya the A'town centre of Africa, mnakaribishwa sana katika 'ufunguzi' rasmi wa 'RomboDeluxe', a new local joint in the heart of the town, the place formally known as "Makutini grocery', know what i'm saying, meein? The place is located...
  6. ndegeulaya

    Em Naombeni Mwongozo Wenu JF Great Thinkers ...!

    Eti, hivi ni kweli kwamba kumpatia binti yako "pocket money", let's say Tshs. 200/- (Tshs. Two hundred Only) kila aombapo pindi aondokapo asubuhi kwenda shule ni kumfundisha mtoto tabia mbaya?? Coz, at least that's what she accassionally asks from a father, but is upheld by a mother as...
  7. ndegeulaya

    Hali ya Mgao wa Umeme Nchini

    Wakuu, kwa mwenye taarifa rasmi juu ya hili em naomba anijuze tafadhali, hivi ni kwamba ule mgao mkali wa umeme ndo tayari umekwisha nchini ama vipi, maana huku nilipko mi sijaona umeme kukatika kwa takriban wiki mbili sasa mfululizo tofauti na hali ilivyokuwa hapo awali. And, by the way, kama...
  8. ndegeulaya

    Msaada tafadhali ....!

    Em naombeni msaada aise jamani wana JF, mimi natumia simu aina ya Samsung Blackjack (Sgh-i607), sasa kinachonitatiza siku mbili tatu hizi ni kwamba nikijaribu ku'visit JF website kupitia simu yangu ya mkononi, yenyewe by default inajifungua in PC Mode, na sioni tena kile kitufe cha JF Mobile, je...
  9. ndegeulaya

    kitu cha "Kwaito" vs. kitu cha "Jaiving" ....!!

    Daah! Ebana wadau, hivi nani anaweza nkumbusha kitu cha "jaiving" enzi zile za sunday-school, afu tukalinganisha na hii kitu yao humu wao wanaita "Kwaito" cjui kitu gani vile, naona ma'raia wanagonga step ile mbaya hapa ndani ya babylon club, hahaa ....!
  10. ndegeulaya

    .. Ni eid-surprise kwa wakazi wa Arusha ama ni nini?

    Eid Mubarak Wakuu ...!! Hatimaye yale matangazo ya Televisheni ya kituo cha Star TV tuliyoyakosa kwa kipindi kirefu jijini Arusha (ikiwemo na Midahalo kadhaa iliyowahi kuandaliwa na kurushwa 'live' hewani kwa kushirikiana na kituo hicho pekee cha Televisheni) sasa yaweza kupatikana bila ya...
  11. ndegeulaya

    Jiji la Arusha na "Traffic-Jams" za Jumatatu mpaka Jumatatu!

    Wadau, em tujadili kidogo na hili la Arusha: Hivi ? Huu msongamano wa magari (traffic-jams) katikakati ya jiji la Arusha kwa takribani siku zote za juma mfululizo (yaani Jumatatu mpaka Jumatatu), je, tatizo ni magari ndo yameongezeka jijini, ama ni barabara ndo zimekuwa chache ...! Kwa...
  12. ndegeulaya

    knock knock!

    hodi hodi wakuu, ruksa kutua na viatu ?
Back
Top Bottom