Hali ya Mgao wa Umeme Nchini

ndegeulaya

Member
Apr 26, 2011
74
13
Wakuu, kwa mwenye taarifa rasmi juu ya hili em naomba anijuze tafadhali, hivi ni kwamba ule mgao mkali wa umeme ndo tayari umekwisha nchini ama vipi, maana huku nilipko mi sijaona umeme kukatika kwa takriban wiki mbili sasa mfululizo tofauti na hali ilivyokuwa hapo awali.
And, by the way, kama mgao umekwisha kwa nini hawa watu wenye dhamana zao hawapandi majukwaani kutujuza hali ya neema kama walivyokuwa wakipanda kututangazia hali ya machungu ya mgao, au faraja yao ya kupanda majukwaani ni ile ya kututangazia balaa la giza tu, eti??

Mzee wa 'megawatt', -on stage please!
 
Back
Top Bottom