Em Naombeni Mwongozo Wenu JF Great Thinkers ...!

ndegeulaya

Member
Apr 26, 2011
74
13
Eti, hivi ni kweli kwamba kumpatia binti yako "pocket money", let's say Tshs. 200/- (Tshs. Two hundred Only) kila aombapo pindi aondokapo asubuhi kwenda shule ni kumfundisha mtoto tabia mbaya??

Coz, at least that's what she accassionally asks from a father, but is upheld by a mother as impacting "bad-manners" to a babygirl ..."
 
so what if she real need that money? should she work somewhere to eran it? and what is she were 'he'?
 
Ni bora ukampa kuliko kuwa mbahili, uvumilivu ukimshinda atapewa na wauza chipsi au konda wa daladala.
 
hakuna ubaya wowote wewe ndiyo mzazi wake, zaidi ya hapo kuna mashenzi yatampa...mwisho wa siku ni balaa
 
hakuna ubaya wowote wewe ndiyo mzazi wake, zaidi ya hapo kuna mashenzi yatampa...mwisho wa siku ni balaa

Shukrani sana wakuu kwa mawazo na michango yenu, -big up sana Waberoya, mkuu 'chapaa', mzee mkubwa Katavi, Chatu dume na Tbag Hatari, pamoja sana wakuu!
 
Shilingi 200/= atafanyia nini sasa. Wewe ni mzazi wake, lazma uwajibike kwake. Unataka nani awajibike kwa niaba yako?.
 
Nafikiri ni muhimu kama mzazi ukaongea na huyo mtoto ili kubaini ni kwa nini huwa anaomba kiasi hicho cha pesa na si zaidi wala pungufu-hii itakusaidia kubaini matumizi ya mtoto na kutambua vipaumbele vyake ktk matumizi ya pesa!Hili ni muhimu kwako mzazi bila kujali kuwa mtoto ni wa kike au wa kiume!
 
Mkuu kindafu,

Thanks much kwa mawazo mazuri, na wengine wote bila kukusahau 'Mzee' kwa na mchango wako hapo juu.

Inshu ni kwamba mtoto ni wa class II na anasomea shule nzuri tu English Medium ambapo kimsingi naweza sema anapata huduma karibu zote muhimu kuanzia usafiri wa school bus kwa kwenda na kurudi kutoka shuleni, breakfast, pamoja na lunch kabla ya kurudishwa nyumbani mchana, japo shule yenyewe ni ya kutwa.

Sasa ni ukweli kabisa kwamba mimi kama mzazi nilijaribu kufanya udadisi kwa mtoto ili kupata kufahamu hiyo pesa anayoombaga huwa ni ya matumizi yepi ya ziada, na ni kwa nini anaombaga sh. 200/- tu na si zaidi kama jinsi na ninyi mlivojaribu ku'raise concern wakuu.

Sasa baada ya kufanya udadisi nlichokuja gundua ni kuwa ile breakfast itolewayo shuleni ninayoilipia kwa term in advance kumbe huwa ni uji pekee bila kitafunwa chochote, japo uji wenyewe ni ule wenye mchanganyiko wa virutubisho, ambao hujulikana maarufu kama 'uji wa ulezi'!

Na nilipoendelea kudadisi zaidi ndipo pia nikagundua ya kwamba, tofauti na jinsi nilivyoielewa mimi ile dhana ya kwamba ni 'strictly prohibited kwa mzazi yeyote kumfungashia mtoto wake chakula cha ziada kutoka nyumbani (cuz, at least that was one of the school's general rules of admission), kumbe pale kwenye school compound huwa kuna kiduka ambacho, aidha ni mradi wa shule (au mradi wa waalimu maybe) ambako ndiko watoto huuziwaga vitafunwa ifikapo muda wa breakfast; yani kwa mana hii ni kwamba, kumbe wakati wengine wanakunywa uji bila vitafunwa, kuna watoto wengine huwa wanakunywa uji na vitafunwa according to sizes of their pockets!

So, tofauti ya kimtazamo inayojitokeza sasa kati yangu mimi na wife wangu ni kuwa, wakati mimi naona ni kumtendea haki mtoto wangu ili asijiskie unyonge na au kutamani watoto wenzie wanapokula good-time, wife wangu yeye anaamini ya kwamba shule ilikuwa na maana nzuri sana ku'provide breakfast ya uji pekee bila vitafunwa kwa watoto wote ili kuleta usawa (uniformity) katika uvaaji, ulaji n.k, na kwa maana hiyo mimi kumpatia mtoto pocket money kwa ajili ya vitafunwa n.k ni kumfundisha mtoto tabia mbaya sana, sasa hii sijui mnaona imekaaje wakuu, maana kwa upande mngine naona wife nae kama ana ka'point' flan vile ... ??

Nawasilisha.
 
Wakati mwengine wanawake wanakuwa wakali kwa watoto wa kike kwa mambo ya kawaida kabisa.
Kama uko vizuri, mpatie 500/= daily.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Asante kwa maelezo hayo ya ziada ndugu yangu.Ktk mazingira hayo swala si mtoto kupewa mia au elfu,ni swala la kamati ya wazazi ambayo naamini ipo,kukaa na uongozi wa shule kuzungumzia hali hiyo halisi inayoendelea hapo shule!Ikibainika kuwa ni kweli uji wanaopewa watoto haukidhi mahitaji ya watoto na uongozi wa shule hauna uwezo wa kuboresha hilo,basi ni vizuri wazazi wote waarifiwe rasmi kuongeza mchango wa vitafunwa kwa watoto,ama watoto waruhusiwe kubeba vitafunwa vyao toka nyumbani!Kinyume na hapo kwa yule mzazi anaheshimu sheria na taratibu za shule alizopewa hatatoa hela ya ziada kwa mtoto wake,na mtoto husika atakapoona wenzake wanapewa na wazazi wao atajisikia mnyonge kwa vyovyote vile-hii itamweka kwenye majaribu ya kudokoa hela nyumbani au kudokoa za wenzake shule ili naye awemo kwenye foleni ya kununua!
Lakini pia ni muhimu mkawa na msimamo mmoja na mzazi mwenzako kuhusu malezi ya mtoto wenu!Watoto wengi wameharibikiwa kimaisha kutokana na misimamo tofauti ya kimalezi ya wazazi!! Tafakari hilo!
 
Shukrani sana kwako mkuu 'kindafu' for your well balanced opinion, and for a very very constructive piece of advice.

I now believe JF is really a Home of Great Thinkers, and indeed you are one of them in the house ....

Respect to all JF Members.

I'm out for action.
 
Huyo mkeo ana roho mbaya tu hana lolote. Na wewe hiyo 200 hebu ongeza kidogo haitoshi hata chips
 
Nafikiri ni muhimu kama mzazi ukaongea na huyo mtoto ili kubaini ni kwa nini huwa anaomba kiasi hicho cha pesa na si zaidi wala pungufu-hii itakusaidia kubaini matumizi ya mtoto na kutambua vipaumbele vyake ktk matumizi ya pesa!Hili ni muhimu kwako mzazi bila kujali kuwa mtoto ni wa kike au wa kiume!

i concur with this advice
 
usipompa wewe hela unataka nani ampe?tena hiyo ni ndogo sana-huyo wife atamfanya huyo binti aje kuharibika badae pindi atakapotafuta source zake mwenyewe za kumpa hela
 
Eti, hivi ni kweli kwamba kumpatia binti yako "pocket money", let's say Tshs. 200/- (Tshs. Two hundred Only) kila aombapo pindi aondokapo asubuhi kwenda shule ni kumfundisha mtoto tabia mbaya??

Coz, at least that's what she accassionally asks from a father, but is upheld by a mother as impacting "bad-manners" to a babygirl ..."

...hapana, unless wewe mwenyewe hujui kwanini unampatia hiyo 200/= kama "pocket money"
 
Back
Top Bottom