Search results

  1. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Waungwana: Unlike mashirika mengine ya Umma na ya binafsi, sisi huku NSSF huwa hatuna makuu. Team yetu inaitwa TEAM RESULTS ORIENTED. Tumesema Tunajenga Daraja la Kigamboni (wana kigamboni wanaliita la Daraja La Dau) ushahidi huu hapa chini: Tumesema kuwa Kigamboni tunajenga sattelite...
  2. MrNSSF

    NSSF yaweka Historia: yazindua YouTube Channel & Itafanya Live Streaming Matukio yake

    Mfuko bora na wenye mafao mengi zaidi na wenye kufanya miradi mingi yenye tija kwa Taifa na wanachama wake wa NSSF umefanya 'soft opening' ya kuwa mfuko wa kwanza kuwa na YOUTUBE channel ambayo itakuwa na option ya LIVE STREAMING ya matukio mbalimbali yanayohusu NSSF NSSF inaomba kama mtaweza...
  3. MrNSSF

    Dr Ramadhani Kitwana Dau aula tena ISSA

    Dr RAMADHANI DAU akiwapungia wananchi kwenye gari la Open Roof kwa habari zaidi soma hapa: Chanzo: MICHUZI BLOG
  4. MrNSSF

    Dr Dau wa NSSF kwenye TBC1: Aweka records straight

    Hii haihusini na thread ta Viwanja . Maswali na mambo mengi ambayo mlitaka kuyajua juu ya NSSF kaelezea juu ya : UMEME PROGRESS DARAJA LA KIGAMBONI MICHANGO AMBAYO INAKUSANYA SASA HIVI INVESTMENTS DIASPORA
  5. MrNSSF

    NSSF na WESTADI

    sina mengi ya kusema..tazameni Video hapo chini:
  6. MrNSSF

    JK aizawadia NSSF kwa mchango kwenye ujenzi

    MICHUZI: JK Aizawadia NSSF kwa Mchango katika ujenzi
  7. MrNSSF

    NSSF & daraja la Kigamboni: Q&A

    Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa kadri ya uwezo wangu. Pale ambapo nitakuwa sina data za papo kwa hapo basi nitaomba muda ili nizilete...
  8. MrNSSF

    NSSF yashinda tena 77

    nAONA BORA mwakani NSSF ijitoe then iwaachie hao wengine kama akina PPF na BOT nafasi ili wabahatishe
  9. MrNSSF

    PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

    Jamani naomba mniwie radhi kwa kuharibu moods zenu lakini PCCB wanasema hivi kuhusu NSSF: The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector. Source PCCB report page 13 lakini PCCB...
  10. MrNSSF

    NSSF Power Projects: Q & A

    GREAT THINKERS, Leteni maswali na hoja zenu. Kama mkileta na supporting evidence nadhani tutakuwa tuko mstari sambamba. Mods na Admin naomba muwe ma referees pale ambapo matusi yatakapoanza
  11. MrNSSF

    Forum yenu changamfu sana

    Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani...
Back
Top Bottom