NSSF yashinda tena 77

MrNSSF

Senior Member
Mar 17, 2011
136
73
7.JPG

nAONA BORA mwakani NSSF ijitoe then iwaachie hao wengine kama akina PPF na BOT nafasi ili wabahatishe
 
inamaana kulikuwa na ulazima wa kuvaa kiswahili namna hii?

8.JPG

Amakweli mdharau asili yake ni mtumwa, sasa we ulitaka avae suti ili iweje?... Kanzu, koti na balagashia ni vazi rasmi, na linatambuliwa hata na bunge letu kama ni vazi rasmi.
 
Amakweli mdharau asili yake ni mtumwa, sasa we ulitaka avae suti ili iweje?... Kanzu, koti na balagashia ni vazi rasmi, na linatambuliwa hata na bunge letu kama ni vazi rasmi.

Hata kwa wahaya ni vazi rasmi teh teh teh wanachanganya ustaarabu wa wazungu na waaarabu. teh teh teh.
 
inawezekana vipi Mswahili aka wa na PhD isiyofeki na akapewa shirika lisilo na rushwa (according to PCCB) na kwenda kwenye shughuli kama hivi akavaa alivyovaa na watu wasitie neno?
 
Majibu wote tunayo hata hamna haja ya kujadili. Ushindi huo ni wa mashaka lakini tuwaachie hao wa hiyo Mifuko
 
Amakweli mdharau asili yake ni mtumwa, sasa we ulitaka avae suti ili iweje?... Kanzu, koti na balagashia ni vazi rasmi, na linatambuliwa hata na bunge letu kama ni vazi rasmi.
kanzu,koti na balaghashia asili yake wapi
 
Hongera NSSF, hawa jamaa kila mwaka wanachukuwa nafasi ya kwanza, hata hivyo they deserve maana wanadeliver service nzuri kulinganisha na Pension fund zingine, Hongera sana Dr. Dau
 
........
nAONA BORA mwakani NSSF ijitoe then iwaachie hao wengine kama akina PPF na BOT nafasi ili wabahatishe

Sema iwaachie PPF LAPF, BIma ya afya na hayo mashrika yenye FFFF. sasa BOT unaishindansiha na NSSF kwa kitu gani. Sura ya tovuti.? mambo ya kushindanish achungwa na embe mwisho utaigiza na Ikulu humo

I think inabidi waende level ya east africa na africa kama hawafai kulinganishwa na wenzao
 
Bilali Muislam mwenzie

7/7 ni itakuwa imejengwa na waislamu

BET itakuwa inaongozwa na waislam tu (haiwezekani kati ya waonyeshaji wote wale wapewe NSSF)

Hiyo ngao itakuwa designed na hao hao waislam wenzao

sioni cha ajabu humu zaidi ya udini tuuu

kama sikosei hata invisible naye atakuwa muislam wa siri siri pia
 
Sema iwaachie PPF LAPF, BIma ya afya na hayo mashrika yenye FFFF. sasa BOT unaishindansiha na NSSF kwa kitu gani. Sura ya tovuti.? mambo ya kushindanish achungwa na embe mwisho utaigiza na Ikulu humo

I think inabidi waende level ya east africa na africa kama hawafai kulinganishwa na wenzao

Unajua ile ripoti ya rushwa Tanzania iliyotolewa na PCCB inasema kuwa NSSF na hao PCCB wenyewe ndio least corrupt

inamaana Ikulu, CHADEMA, jesho la polisi, PPF, TRA, BIMA CCM na hata JF kuna rusha KASORO nssf na PCCB
 
kanzu,koti na balaghashia asili yake wapi

Kanzu, koti na balaghashia(vikivaliwa kwa pamoja) asili yake ni maeneo ya mwambao wa Afrika Mashariki, kuanzia Kismayu(Somalia) kule juu mpaka Deira(Mozambique) kwa huku chini. Na kwa kwenda mashariki inachukua visiwa vyote vya Unguja, Pemba mpaka Comoro.

Cha kutofautisha hapo na maeneo mengine ni kuvaliwa kwa pamoja(yaani kanzu, koti na balaghashia) na hii balaghashia ndio haswa inayotofautisha vazi lenye asili ya Afrika Mashariki na maeneo mengine. Kama ni kanzu hata masheikh, maaskofu na hata pope wa vatican anavaa.

Nadhani nimekujibu.
 
Hayo Mavazi Yanavaliwa kwa Shughuri Maalumu ya Heshima! Na Haswa Ikiwepo Siku ya Ijumaa!! Full Stop.

Kudaut Majitu yasiyojua Historia za Dini Utayajua tu Dini Zimeanzia Middle East So Kama wewe ni mfuasi wa Upande mmojawapo basi ukifuatisha utaangaukia na mavazi ya aina fulani kuna wanayopenda kuvaliwa na wakristu Wayahudi na Muslim na Madhehebu yake na haswa huu utofauti haswa umesababishwa na kukosekana na maandishi fulani fulani ya historia kwani enzi zile kulikuwa na upingaji wa habari fulani ndizo zilizosababisha kuwa na madhehebu tofauti,

Kama hatujui vizuri tusipinge au tuwaache watu wajiamulie watakavyo ila kama mtu unaona haipendezi toa tu ushauri kwenye maeneo ya kazi kusiwe na hisia zozote za udini kuwe na usawa fulani ili kuondoa minong'ono isiyo na ulazima. japo kanzu, Bukta singland, majoho na vingi vingi vitop n.k sio mavazi lasmi la kazini.

ijumaa ilionekana inapendeza watu wakivaa t-shirt juu na chini suruali ya kawaida kwenye katiba mpya ombeni hayo isije ikaanza watu wakaanza kuvaa makofia ya kiyahudi makazini..
 
NSSF wanatumia fedha nyingi sana kuhonga ili waonekane ni bora lakini sisi wanachama wa NSSF tunajua kuwa huduma zinazotolewa huko ni mauzauza.
Ushindi huu wameupata kwa lipi wakati huduma zao ni uchwara mtupu. Tusidanganyane hapa.
 
Hebu tufafanulie wanahonga vipi?

kama hawakulipi vizuri nadhani sheria inakuruhusu kuhama kwenda PPF au?
 
Back
Top Bottom