NSSF & daraja la Kigamboni: Q&A

MrNSSF

Senior Member
Mar 17, 2011
136
73
Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa kadri ya uwezo wangu. Pale ambapo nitakuwa sina data za papo kwa hapo basi nitaomba muda ili nizilete.

Natumai tutakuwa na mjadala wenye mtiriko mzuri na wa heshma.

Akhasanteni.
 
Tunashukuru ndungu,mr hilo daraja kwa nini mmeamua kulijenga huko pembeni ya mji baada ya kulijenga pale vivuko vinapopita?ni nini hasa kilicho washinda au mlishindwa kupata mkandarasi bora wa kulijenga pale?asante
 
Hili daraja litakua linapitika kwa kulipia au la bure?
Nanyi kama NSSF mnategemea kufaidika vipi?
 
Je litakuwa na provisions au nafasi ya ziada kwa mfano huko mbeleni mamlaka husika wakitaka kuongeza njia ya reli au tram links n.k au linajengwa kukidhi watembeao kwa miguu na wanao tumia magari peke yake,natanguliza shukrani zangu
 
Mr NSSF mbabaishaji tu, bora tungempa Shimbo hilo daraja angelijenga kwa siku mbili sio hawa wanatumia miezi kujibu maswali mepesi tu.
 
Dr. D la Mnyonge Kaingia Mitini Bila Kujibu Kitu...

Nimefurahishwa Sana na Nyie Baada ya Kusikia Mmewakatalai Wengi Sana Waliokuwa Wanataka Kutoa 10% Mwape Tenda Sikuhizi Mmekuwa Watu Wema Dini Imeshika Hatamu Yake Hakuna Ubabaishaji Tena Watu Wameanza Kuheshimu Utu wa Binadamu Hongereni kwa Mafao Mtupayo ila Tusije Sikia Miaka Ya Baadae Kuwa haya mafao mtupayo yanakamchezo kachafu...

Daraja kwa TZ ni kama Tulivyozoea Hata TVT kuanza ilichukua zaidi ya miaka kadhaa so Daraja Ni Hivyo hivyo Waombeni Wachina wawamegee kipande kutoka kwenye lao lile la km zaidi ya 400.

Isjie kuwa Mnasubiri Pesa Mlizoikopesha Serikali ya Jk Awalipe ndipo Mjenge!
 
Litakuwa la aina gani kati ya aina za madaraja zote duniani?
Daraja la Kamba kama yale tuyaonayo kwenye movie za kimarekani za vita Kule Vietnam Kuvuka unashika kamba pande zote na kwa umakini mkubwa....

Mr Nssf Itakuwa keshawahi ulabu Breakpoint Pub! atarejea soon kujibu maswali Rahisi yasiyo na Vitendo ''BreakPoint'' ni karibu sana na Office Zake
 
Sina shaka mtoa hoja anazo data za kutosha ni bora aende pale nssf akatuleteee nondo zote! Mfano contractor, deadline na if malipo yatakuwepo na ni kiasi gani?
 
Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa kadri ya uwezo wangu. Pale ambapo nitakuwa sina data za papo kwa hapo basi nitaomba muda ili nizilete.

Natumai tutakuwa na mjadala wenye mtiriko mzuri na wa heshma.

Akhasanteni.

Napenda kwenda moja kwa moja ktk maswali:

1. Ni sheria ipi iliyowapa mamlaka NSSF kujenga daraja hilo?
2. Sera za NSSF zikoje ktk miradi ya PPP?
3. Gharam la mradi huu wa daraja ni kiasi gani?
4. Wachangiaji ni akina nani, na kwa asilimia ngapi?
5. Ujenzi wa daraja hilo unategemea kuchua muda gani?
6. Utaanza lini?
7. Mpaka sasa ni wachangiaji wangapi wameishatoa hela walizo ahidi?
8. Ushiriki wa Serikali kuu ktk mradi huu ni upi?
9. Ni nani atasimamia makusanyo ya mapato ya daraja, na kwa muda gani?
 
Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa kadri ya uwezo wangu. Pale ambapo nitakuwa sina data za papo kwa hapo basi nitaomba muda ili nizilete.

Natumai tutakuwa na mjadala wenye mtiriko mzuri na wa heshma.

Akhasanteni.

Yuko wapi MrNSSF ajibu maswali ya WADAU? Anaanzisha uzi kisha ameingia mitini!
 
EPC = Engineering Procument and Construction contract entails the design, buying and installing of all items in a project by one Contractor. It is a faster way of delivering a project and can be far more cost effective than conventional contracts. The Client (NSSF) should know exactly what he wants on day one; variations will be expensive. The Contractor should be reputable and it is good to have a Client's representative at site at all times to monitor construction.
 
Well said Dr.
Mimi sina wasiwasi na NSSF katika mashirika yote ya hifadhi ya jamii hili katika uwekezaji lina team inayoeleweka na mara kwa mara either wanaweka project manager wakwao or resident engineer wao!!!
 
Je litakuwa na provisions au nafasi ya ziada kwa mfano huko mbeleni mamlaka husika wakitaka kuongeza njia ya reli au tram links n.k au linajengwa kukidhi watembeao kwa miguu na wanao tumia magari peke yake,natanguliza shukrani zangu

Mzalendo swali lako ni la msingi sana,kwani tuendako twaitaji kufikiria na mahitaji ya mbeleni!kama haitawekwa sasa lakini provision kwa ajili ya future extension ni muhimu sana na ni cost effective!! kwani huitaji kuwa na njia tofauti kwa magari,watu au reli unachoitaji ni kudesign pillar zitakazo beba mizigo wote.
 
kashasepa huyo mr nssf...

Napendekeza saimon and groups wachukue na huu mradi maana wako fasta fasta na ni wazalendo wazawa wa ukweli.
 
Back
Top Bottom