Search results

  1. P

    INAUZWA Inauzwa tiba asili zilizoidhinishwa na Serikali ( covidol, nimr caf na buyegi)

    Tunauza na kusambaza dawa/tiba asili ya homa, mafua na matatizo ya mfumo wa upumuaji (COVIDOL) Tshs 25000, pamoja na dawa Lishe kwa ajili ya mafua makali na kikohozi kikavu (NIMRCAF) Tshs 15,000 na dawa aina ya BUYEGI Tshs 20000 kwa jumla na reja reja. Tunafanya delivery kwa mikoani na nje ya...
  2. P

    Natafuta soko la Mayai ya Kienyeji

    Wapendwa habarini, Natafuta soko la mayai ya Kuku wa kienyeji nina sambaza kwa wenyeji wa Dar. [emoji239]
  3. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Habari zenu wapendwa? Naombeni msaada, mimi ni mfugaji wa Kuku wa nyama namshukuru Mungu najitahidi na napata matokeo mazuri Kuku ni wakubwa wanaridhisha, Tatizo langu ni kupata soko zuri/wateja Naombeni msaada wenu ktk mbinu au njia nzuri yakupata wateja nakum maintain uyo mteja nisimpoteze...
  4. P

    Bei safi na hayajachakachuliwa, mafuta safi ya ubuyu kwa walioko mkoani kagera- bukoba

    Ni mafuta yenye kinga na virutubisho vingi mwilini, kwa walioko Kagera - Bukoba, ni Talent Shop mtaa wa Mafumbo. kwa mawasiliano zaidi piga number 0754-766029. Karibuni mpate elimu na maelekezo zaidi juu ya bidhaa asilia ya Kitanzania
  5. P

    Bajaji inauzwa

    Bajaji inauzwa, kwa mawasiliano zaidi tuma PM kwangu
  6. P

    BLACKBERY inauzwa kwa bei poa

    Ninauza Blackbery Mpya kwa bei poa karibuni. Kwa mawasiliano zaidi nitumie PM.
  7. P

    Asanteni sana na nawawakaribisha wana JF

    wapendwa wana jf, natumai mnaendelea vyema na poleni na majukumu. Napenda kuwashukuru wana jf wote waliyo niunga mkono ktk biashara yangu ya mayai ya kuku wa kienyeji, Nimefarijika sana na nawakaribisha wote, mayai yapo mengi tuu na pia wale wahitaji wa modem na simu zipo. Karibuni sana
  8. P

    MUME AFIKA SALAMA, Tehee!!

    Jamaa alikuwa kasafiri akaenda guest house kumpunzika kufika aka amua amtumie masseji mke wake kumbe alikosea namba ika enda kwa mwanamke alie toka kufiwa na mume wake siku mbili zilizo pita yule mwana mke mjane alivyo isoma ile meseji aka zimia ghafla mtoto wake akaja kamkuta mama yake kazimia...
  9. P

    Modem na simu zinauzwa kwa bei nzuri,karibuni

    Habari wana JF? nawakaribisha kununua bidhaa nzuri na za bei nafuu kwaajili ya mawasiliano ambazo ni · Modems K 3570/3571 @ 25,000/= · Modems K 3565@ 35,000/= · Nokia 1280 @ 33,000/= · Vodafone 858(smart phone)@ 195,000/= · Vodafone 351 @ 55,000/= · ZTEs 502 @ 19,000/= Kwa maelezo zaidi piga...
  10. P

    Ready - made jamani

    Hi wana Jf! Nina jambo linanitatiza jamani, vijana wa sikuizi wamekuwa na tabia kutaka vitu ambavyo tiyari vimesha garamikiwa na wenzao, naomba nitoe mfano mmoja uliyo hai, kijana mmoja alimpata msichana akamwambia anataka aende kwa msichana huyo akapafahamu anapo ishi, dada alikataa lakini boy...
  11. P

    Waxn jamani wax, miguuni, kwapani na ...........

    Habari wana JF, nafurahi kuwa nanyi hapa Waxn waxn jaman wenzangu , unakuta mtu anaondoka anaenda saloon kufaya waxn, Ananyolewa nyele mikononi , miguuni na hata sehemu za siri. Mtu unavua nguo unaonesha sehemu zako za siri na zinashikwa shikwa eti ili unyolewe vizuri na kitaalamu zaidi...
  12. P

    Mshahara huu kwenye kampuni ni haki?

    Habari wanaJF, kuna kampuni moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu katika nchi yetu. Cha kushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract. Pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh tu. Na wanalipa kwa cammission, kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa...
  13. P

    Natafuta kazi

    Natafuta kazi nimesomea maendeleo ya jamii jinsia na watoto, nina Diploma ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto. Naombeni mnisaidie wana JF
  14. P

    Jamani wana JF

    Natafuta kazi, nimesomea Maendeleo ya jamii jinsia na watoto, hivyo nina Diploma ya Community Development, Gender and children. Pia nina certificate ya computer katika program publishe,M/S word M/s power point M/s exel etc naombeni msaa wenu
  15. P

    Hellow JF member

    Jamani wanajami Forum im new here, naomba mnipokee na mnikaribishe. Napenda kujiunga nanyi na nawapenda wote. Thanx
Back
Top Bottom