Modem na simu zinauzwa kwa bei nzuri,karibuni

Pretty P

Senior Member
Dec 27, 2010
121
20
Habari wana JF? nawakaribisha kununua bidhaa nzuri na za bei nafuu kwaajili ya mawasiliano ambazo ni

·
Modems K 3570/3571 @ 25,000/=

· Modems K 3565@ 35,000/=
· Nokia 1280 @ 33,000/=
· Vodafone 858(smart phone)@ 195,000/=
· Vodafone 351 @ 55,000/=
· ZTEs 502 @ 19,000/=
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0754766029
KARIBUNI SANA
 
Habari wana JF? nawakaribisha kununua bidhaa nzuri na za bei nafuu kwaajili ya mawasiliano ambazo ni

·
Modems K 3570/3571 @ 25,000/=

· Modems K 3565@ 35,000/=
· Nokia 1280 @ 33,000/=
· Vodafone 858(smart phone)@ 195,000/=
· Vodafone 351 @ 55,000/=
· ZTEs 502 @ 19,000/=
na kuna bomba seven recharge katika modem zote mbili na zawadi kila mwezi katika simu hizo.
Ni nzuri na kwa maelezo zaidi piga simu namba 0754766029
KARIBUNI SANA
Asante nitakupigia, napenda watu wanaojiendeleza kibiashara.
 
Tupe specification ya hii kitu Vodafone 858(smart phone)@ 195,000/= inaonekana ni bomba na reasonable then tukutafute
 
hzo modem zpo confined kwa voda tu or unaweza 2mia kwa mitandao mingne pia? Na je hzo bomba 7 recharge unakuta tayar imeshajazwa katika line or unapewa vocha ujaze mwnyw?
 
Jamani wapendwa ningependa mni beep tu katika hiyo namba then ntawapigia na kuwapa maelekezo zaidi na msijali karibuni sana. Wa kanda ya ziwa pia nibeep then nitakupigia na kukupa maelekezo na kama utaitaji utaletewa mpaka mkoa uliopo na jinsi yakupata nitakuelekeza. Asanteni sana wapendwa
 
Tupe specification ya hii kitu Vodafone 858(smart phone)@ 195,000/= inaonekana ni bomba na reasonable then tuk
Automated recharge for 3 months. each month receiving 30Mins, 20SMS and 50MB customer will receive automaticcally this amount after every 30 days from activation for a period of 3 months
Nadhani umenielewa hapa kama bado naomba unibeep, karibu sana

 
Vodafone 858 wakuu ipo bomba sana me ndio ninayo itumia aisee iko poa unaweza ukaifanya kama router lkn kwa kugawa wireless internet kwa pc mpk tano nimejaribu ikakubali dah hii ndo sim jamaa wametoa ya akili!
 
Nashukuru kwakuwa na wewe unaniunga mkono Matope maana najitaidi sana kuwaelewesha na nategemea kupata wateja wengi, karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom