Ready - made jamani

Pretty P

Senior Member
Dec 27, 2010
121
20
Hi wana Jf!
Nina jambo linanitatiza jamani, vijana wa sikuizi wamekuwa na tabia kutaka vitu ambavyo tiyari vimesha garamikiwa na wenzao, naomba nitoe mfano mmoja uliyo hai, kijana mmoja alimpata msichana akamwambia anataka aende kwa msichana huyo akapafahamu anapo ishi, dada alikataa lakini boy akang"ang"ania anataka apafahamu bila kusita dada akamruhusu na alifika akapaona ila akaonesha kutokuwa na uso wa furaha bahati nzuri dada akawa anamchunguza tabia na akagundua boy yule anatembea na mke wa mtu na amezoea kulelewa hivyo akategemea binti atamlea, badaye akaanza kumuomba ela mara kwa mara na vitu vya thamani. Dada akawa hana na baadae kijana akasitisha kumtafuta yule dada kila alipokuwa akimpigia akawa mara hapokei simu, na akipokea anadai yuko kwene kikao mwisho dada akaacha kumtafuta.
Je ni nini kinapelekea hata kakazetu wanakuwa na tabia hii, je nini kinapelekea wadada wanakuwa na tabia hii?? Wanapenda vitu ambavyo ni allready made na wengine na akikukuta huna anachapa mwendo. Je mtu wa tabia hii anaupendo wa dhati kweli?? Nawasilisha
 
Haka katabia kanakeeraaaaa sana! Nashangaa kusikia wanaume nao wameanza lakini kwa mabinti ndio kama kawa! Hatukatai kusaidiana lakini mnafahamiana na mtu mara moja tayari keshahamishia matumizi yote kwako... Ada ya chuo.... Kodi ya pango... Ish..... Kabla yangu nani alikuwa akiteki kea? Inaboa tujenge tabia ya kujitegemea uwe mwanaume au mwanamke usipende kulelewa. Nasisitiza sikatai dhana ya kuasidiana mmojawapo anapokwama lakini si kuhamishia matumizi yoooote kwangu baya zaidi tunafanya ofisi moja na tunafahamiana mishahara yetu sometimes hatuzidiani kihivyo!
 
That is materialistic love. Kwa kawaida, mtu akishapata hilo, kama ni mke.mume wako, he/she will go on searching for a true love... do not be a victim, though it is difficult to distinguish between true and materialistic love...
 
Badili Tabia ur right kabisa na hawataki kutafuta, just emagine kijana wa twenty something na mke wa mtu jamani!! sasa keshazoea kuletewa hawezi tena kutafuta dah!! Ndiyo mabadiliko hayo jamani:fish:
 
Smart lady wafundishe na wenzio ulifanikiwa vipi kujua kuwa hilo lilikuwa boya.
 
Smart lady wafundishe na wenzio ulifanikiwa vipi kujua kuwa hilo lilikuwa boya.


watu wanajua kusoma alama za nyakati Kidz, na ukitaka uheshimiwe lazima ujithamini usijirahisishe kama .......... bwana. We unaomba kila leo jamani mtu naye anachoka ati, lingine kila siku mtu anakuja kwako unampa dinner kila leo ivi unajua unamchoka kabisa !! Awe mwanaume au mwanamke jamani
 
sababu pekee inayopelekea tabia hii umeshaitaja ' wanapenda kulelewa' hilo tu hakuna jingine:dance:
 
Back
Top Bottom