MUME AFIKA SALAMA, Tehee!!

Pretty P

Senior Member
Dec 27, 2010
121
20
Jamaa alikuwa kasafiri akaenda guest house
kumpunzika kufika aka amua amtumie masseji
mke wake kumbe alikosea namba ika enda kwa
mwanamke alie toka kufiwa na mume wake siku
mbili zilizo pita yule mwana mke mjane alivyo
isoma ile meseji aka zimia ghafla mtoto wake akaja kamkuta mama yake kazimia uku ana simu
mkononi ndo yule mtoto aka chukua cm ya mama
yake nakuanza kusoma ile meseji ilikuwa ivi mpendwa mke wangu mimi ni mepumzika kwa
aman kwan nilifika salama nilipo fika wali nipo kea
vizur waka nipa na chumba cha kulala vyumba
vipo ving na kuna nafasi ya kutosha na watu wa
huku niwa karimu sana jiandae na wewe kesho
utakuja huku huku na watoto wangu nina waandalia chumba wata kuja mwenz ujao ni mim
mmeo nilie mbali na wewe
 
mpangilio wa maneno umeharibu uhalisia...umerefusha saana mpaka watoto blah blah...anyway umejitahidi sio mbaya. good start
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom