Mshahara huu kwenye kampuni ni haki?

Pretty P

Senior Member
Dec 27, 2010
121
20
Habari wanaJF, kuna kampuni moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu katika nchi yetu. Cha kushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract.

Pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh tu. Na wanalipa kwa cammission, kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF.

Ni sawa kweli wana JF?
 
Habari wanajf? Mimi ninafanya kazi ktk campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu niingie hatuja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Yaani inategemea na wateja utakaopata na oteja mmoja Tsh500 na kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Nisaidieni ni haki kweli wana jf?
Pretty P,
sijaelewa haki ipi unayozungumzia hapa. Kulipwa malipo unayolipwa, kusaini mkataba ama malipo kwa kamisheni?
Mshahara ni makubaliano ya mwajiri na mwajiriwa bila kuvunja sheria.
Sijajua sheria na vifungu elekezi kwa level ya mishahara hasa katika makampuni binafsi.
Makampuni mengi yanayohusika na sales mara nyingi wanatumia kamisheni kama Bonus payment na motivation kwa waajiriwa.
Kama unahisi huridhiki na hapo ulipo, ajira ni soko huria hivyo unaweza kutafuta pengine.
 
kusign mkataba, na malipo ni kidogo bse mshahara kimo cha chini ni sh. Ngapi? Je suala la mkataba we huoni linamatter??
 
habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000tsh tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa nssf,
ni sawa kweli wana jf?

dadavua mambo wewe!sema ni kampuni gani sio unafichaficha!taja jina la kampuni yako na ipo wapi!
 
Inabidi urejee kwenye "Government notice No.172 ya 30.04.2010" yenye kichwa cha habari "Regulation of Wages and Terms of Employment Order,2010. Hapo utapata kima cha chini cha mshahara kwa sekta mbalimbali.
 
Habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Ni sawa kweli wana jf?

Sio unalalamika lalamika ovyo wewe kama vipi si uache hiyo kazi? hulazimishwi, kwa mashahara huo inaonekana kwanza Elimu yako ni ndogo sana either form 4, au form 2! so who cares about it! hiyo inaitwa cheap lobour! Everywhere in the world is existing! People/mostly are getting higher salaries in relation to their level of education.

Sio unatuletea hadith rejea hapa kumbe wewe ni secretary tu wa kikampuni fulani. Tena kazi uliomba kwa kubembeleza leo ohoo mshahara mara mkataba! We vipi bana?

Kama rudi class, then baadae dai dau la juu, utalipwa tu tena faster
 
Jaribu kumweleza Boss wako maneno haya uliyotueleza, utapata ufumbuzi...
Narejea Kauli ya Kipipili; Uoga wako ndiyo umasikini wako...
Good luck...
 
Naomba nimtetee pretty P kwamba si kweli mshahara unalingana na elimu yake ila nadhani kwa soko huru la ajira ya sasa ni kwamba shida zako ndizo zitakazolingana na mshahara wako. Cha msingi ni kumshauri avumilie wakati anaangalia kwingine kwani kuna wengi sana wanapata mshahara kama wa Pretty P lakini wao huwa hawalalamiki hapa jamvini kama yeye.

Hii ni kwa kuwa serikali imeruhusu wawekezaji waongeze ajira kwa mshahara wa kufikirika hasa kwenye mambo ya sales. Utasikia wanaanza kwa kusema eti basic Tsh. 105,000 kisha ukipata wateja 600 unapewa 1000( buku) kwa kila mteja kama commission na pia kuna X-mas bonus na utalipiwa nauli ya daladala wakati wa kutafuta wateja na vocha ya buku kumi kila mwezi.

Sasa kama uko Dar kwa ndugu yako na maisha hayaendi kila siku inabidi kujiingiza tu katika ajira hiyo bila kujali wala kutafakari mahesabu ya mshahara kutokana na pressure ya maisha. Na baadae ukishaizoea kidogo ile kazi na kukutana na watu wanaolipwa vizuri unaanza kulalamika bila kumshukuru mungu kwa kukupa kidogo hicho alichokuanzishia.

Mimi nadhani hapa ni kutafuta kazi nyingine wakati unavumilia hiyo uliyopo Ukilogwa kutaja jina la kampuni hapa jamvini unaweza kung'olewa hata hicho kidogo usikipate tena. Wadau hapa watakusaidia kupata kazi wewe weka sifa zako na elimu yako hapa maana hata walinzi nafasi zao zipo, madereva pia bila kusahau makatibu muhtasi. Nawasilisha
 
Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi

Utasikia wanaanza kwa kusema eti basic Tsh. 105,000 kisha ukipata wateja 600 unapewa 1000( buku) kwa kila mteja kama commission

sasa mbona hapo mtu ana hela nzuri sana? unapata bonus ya 1000 kwa kila mteja?? kwa mwezi na bonus ya 300,000 + 105000 = 405000

sasa 405000 kwa mwezi ni hela ndogo???
 
Habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Ni sawa kweli wana jf?

achana na kazi ya kuajiriwa karibu kwenye kilimo na ufugaji! hata kama una mtaji wa 1m utaanza taratibu!! muulize Elnino na Malila
 
Habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Ni sawa kweli wana jf?

Inawezekana hayo malipo yakawa sahii, kwa siku hizi mishahala ni ya kisekta; hiyo kampuni hiko sekta gani!! Sekta ya madini, kilimo, afya, viwanda au ya ulinzi?
Siku zote ukitaka kusaidiwa jaribu kuwa wazi ktk kutoa dukuduku lako.
 
Sio unalalamika lalamika ovyo wewe kama vipi si uache hiyo kazi? hulazimishwi, kwa mashahara huo inaonekana kwanza Elimu yako ni ndogo sana either form 4, au form 2! so who cares about it! hiyo inaitwa cheap lobour! Everywhere in the world is existing! People/mostly are getting higher salaries in relation to their level of education.

Sio unatuletea hadith rejea hapa kumbe wewe ni secretary tu wa kikampuni fulani. Tena kazi uliomba kwa kubembeleza leo ohoo mshahara mara mkataba! We vipi bana?

Kama rudi class, then baadae dai dau la juu, utalipwa tu tena faster

Hivi hiyo sio kazi eti eehhh mbona mie mkewangu ni secretary tena ananizidi mshahara wakati mimi ni injinia??? Acha dharau kijana
 
acha dharau wewe unajua secretary wa waziri mkuu analipwa sh ngapi wewe?
Sio unalalamika lalamika ovyo wewe kama vipi si uache hiyo kazi? hulazimishwi, kwa mashahara huo inaonekana kwanza Elimu yako ni ndyogo sana either form 4, au form 2! so who cares about it! hiyo inaitwa cheap lobour! Everywhere in the world is existing! People/mostly are getting higher salaries in relation to their level of education.

Sio unatuletea hadith rejea hapa kumbe wewe ni secretary tu wa kikampuni fulani. Tena kazi uliomba kwa kubembeleza leo ohoo mshahara mara mkataba! We vipi bana?

Kama rudi class, then baadae dai dau la juu, utalipwa tu tena faster
 
Siku zote ili upate mafanikio ni lazima uanzie chini, hivyo kama huo mshahara ni mdogo komaa na kazi na ipo siku mshahara utapanda tu. Make kumbuka kuna bodi husika kuhusiana na malipo ya m2 ni sawa na kazi anayofanya na ni sawa na elimu yake ,usikate tamaa
 
Hata kama salary ni ndogo kiasi gani wewe piga kazi husiangalie mshahara hipo siku utakuta mambo yamekuwa mazuri tu... uvumilivu ni muhimu wana JF....!:mod:
 
Back
Top Bottom