Search results

  1. UPOPO

    Jinsi ya mzazi kumchukulia cheti cha sekondari mtoto wake aliye nje ya nchi

    Jamani naomba kupata maelekezo kuna uwezekano kwa mzazi kumchukulia mtoto wako cheti chake cha form four au six kama yeye mwenyewe hayupo nchini na nina documents zote zinazoonyesha hayupo. Cheti original kinahitajika chuoni alipo. Je, kuna uwezekano wa mzazi kukichukuwa? Na je, utaratibu...
  2. UPOPO

    Natafuta Makochi

    Wandugu natafuta makochi ya kununua mapya set mbili ya watu sita .Budget yangu ni 2.5m kwa set na yasiwe ya kitambaa
  3. UPOPO

    Wanawake watawala Dunia soon

    Niko naangalia CNN nikaanza kutafakari mambo mengi kimoja nikavutiwa na uchaguzi wa Marekani huku nikifuatilia kwa makini mijadala ya uraisi wa Marekani. Lakini navutiwa na mwenendo wa sasa ambapo soon wanawake wanakuja juu kwa kasi kutawala mataifa makubwa duniani.Hilary Clinton akishinda...
  4. UPOPO

    SACCOS -Wanaojua jinsi ya kuanzisha na taratibu zake

    Wakuu, Naomba kama kuna watu wanaoweza kunisaidia utaratibu jinsi ya kuanzisha SACCOS,kuanzia utaratibu mpaka kusajiliwa.Najua huku sikosi wausika.
  5. UPOPO

    Mtu anayekaa katikati ya Barabara pale Victoria

    Habari zenu wakuu!huwa nasikitika sana kila wakati nikiwa napita hapa maeneo ya Victoria unamkuta mtu kakaa katikati ya barabara huku akiomba na pia inaonekana ana matatizo ya akili. Je hakuna mamlaka zinazousika kuakikisha usalama wake !na waendesha Magari! Mimi kama mzazi kama kuna wahusika...
  6. UPOPO

    Moto mkubwa eneo la Tangi Bovu -Mbezi beach

    Moto mkubwa unaendelea kuteketeza nyumba maeneo ya tangi bovu .Magari ya zimamoto yamefilka lakini yameshindwa kudhibiti Source :Radio1 sterio
  7. UPOPO

    Kwa wale wenye sifa hizi tu!!kuna ofa Murua

    Jamani natafuta wale wenye sifa zifuatazo ili angalao week end hii nipate wakutoka nao. Kwanza awe ana 'JF Bronze' au 'JF Gold' awe mwenye jinsia tofauti na mimi.Ni urafiki wa kawaida tu na si vinginevyo. Bili tunashea kwa sababu nimegundua hawa niliowataja hapo juu wanajiweza sana mpaka...
  8. UPOPO

    DAWASCO maji Dar yatatoka lini!

    Jamani wenye taarifa ya maji kupatikana Dar kwa wakazi wa Tegeta,Mbezi beach Mwenge mpaka Town .Tunaomba kujua jamani kwani hali mbaya sana huku majumbani kwetu hasa sisi akina mama.
  9. UPOPO

    Muwe mnatusalimia Basi!!!!!!Hata kama hatujapendeza

    Jamani wengine hata tukipost kitu huku hakuna wachangiaji hata salamu jamani!
  10. UPOPO

    Fungasi za Juu ya unyayo wa Mguu

    Jamani nimekuwa naota Fangasi juu ya unyayo,vinaota vipele vidogo vinakuwa kama na maji ndani na baada ya muda zinapasuka na kusambaa kwenye mguu.Nimejaribu kila aina ya dawa ya kupaka hata kuvaa viatu vya wazi lakini bado vinakuja na kupona.Nimeenda kwa specialist mbalimbali wa magonjwa ya...
  11. UPOPO

    Panther-Save up to 30 per cent on your car fuel costs

    Wrong !!! there is something you can do !!!,*Use PANTHER, By using panther u can save up to 30% on your fuel consumption.Just plug it on your car cigarette lighter socket and enjoy more power and less fuel consumption for your car. Panther uses Japanese Micro Fuel Optimizing...
  12. UPOPO

    Jamani!! Mgao wa Umeme umeanza tena?

    Jamani mgao wa umeme bado upo?mbona Mvua zinanyesha nchi nzima!Jamani mi mbona sielewe kwani maeneo ya Mbezi beach leo siku ya pili hatuna umeme kuanzia kati ya saa kumi mpka saa tano.Kuuliza ni Mgao Je mabwawa hayajaja maji!mm hii kali wakati masika yameanza nchi nzima?
  13. UPOPO

    Wasanii wa kiume kujichubua inakuwaje hii?

    KUNA mdau mmoja ambaye ni mwanamke anajaribu kuongea na Fc huku akiomba jambo analotaka kushiriki na sisi tusimpuuze kwani yeye ana uhakika nalo jambo hilo, ndio maana anataka liwafikie jamii na kujadiliwa, lakini hapo awali alianza kwa kulalamika kuwa mara nyingi kasoro au matatizo ya wasanii...
  14. UPOPO

    Mafunzo ya uhasibu (cpa)

    Naomba mnijulishe sehemu zenye waalimu wazuri Wanafundisha masomo ya uhasibu kwenye level Ya module E na F.Hasa siku za weekends
  15. UPOPO

    Hodi hodo nimeingia

    Nakaribishwe wandugu!
  16. UPOPO

    Hodi hodo nifungulieni

    Hamjambo ! Nimeingia Marry X mass all
Back
Top Bottom