Kwa wale wenye sifa hizi tu!!kuna ofa Murua

UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
3,442
5,386
Jamani natafuta wale wenye sifa zifuatazo ili angalao week end hii nipate wakutoka nao.

Kwanza awe ana 'JF Bronze' au 'JF Gold' awe mwenye jinsia tofauti na mimi.Ni urafiki wa kawaida tu na si vinginevyo.
Bili tunashea kwa sababu nimegundua hawa niliowataja hapo juu wanajiweza sana mpaka wakapata mabronze na magold.
Masharti:UsiniPM

Wengine mnakaribishwa kutoa mawazo na kusaidia kuchagua kwani kuna watu hodari sana huku JF kwa msaada wa hali zote
 
na wewe usini pm .ila tukutane
 
Wewe sikutaki una masifa niliyotaja ila unakaribishwa nikimkosa na nitatoa sifa mpya
 
Mimi ulizoainisha kwangu ziko below my level, so far nashawishika nikutumie mtu wa kiwango hicho.
Btw nikuulize huyo nitakae mleta hatotafunwa ?
Jb kwanza nione nitakavyokusaidia
 
Mlete kwanza afanyiwe majaribio,unaweza hata kupropose pia .Kutafunya usitie shaka inategemea
 
Mimi nakushauri kwa roho yangu nyeupe kabisa
toka na Asprin yeye ana sifa nyingi,
kubwa ni ile kuzimika baada ya kinywaji
kwa mila za kwetu itabidi uondoke na kile alichonacho kwa ajili
ya kumtunzia benki.
 
Watafikiriwa ,ila wajaribu nitawasaili

Duuh "atafikiriwa" hili neno limenifanya nijikumbushe sometyms maneno mengine ukiyaandika kwa haraka unaweza kula suddenly ban! Kama hilo, yatakiwa uliandike taaraatiibu, o/wise mmh !
 
Jamani natafuta wale wenye sifa zifuatazo ili angalao week end hii nipate wakutoka nao.

Kwanza awe ana 'JF Bronze' au 'JF Gold' awe mwenye jinsia tofauti na mimi.Ni urafiki wa kawaida tu na si vinginevyo.
Bili tunashea kwa sababu nimegundua hawa niliowataja hapo juu wanajiweza sana mpaka wakapata mabronze na magold.
Masharti:UsiniPM

Wengine mnakaribishwa kutoa mawazo na kusaidia kuchagua kwani kuna watu hodari sana huku JF kwa msaada wa hali zote
Hapo kwa red hebu kwanza tuambie jinsia yako...wewe ni he/she? Wengine hatudanganyiki na avatar.... Swahiba wangu klorokwini alishaingia choo cha kike akasahau kuchuchumaa alipopanga kukutana na King'asti akitegemea kuwa ni demu.......... Maweeeeeeee!!

Tuambie jinsia yako kaka/dada tafazali.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakushauri kwa roho yangu nyeupe kabisa
toka na Asprin yeye ana sifa nyingi,
kubwa ni ile kuzimika baada ya kinywaji
kwa mila za kwetu itabidi uondoke na kile alichonacho kwa ajili
ya kumtunzia benki.
Khaaa! We Mamndenyi umeanza vizuuuuuri nikajua dada yangu mpendwa tokea mndenyi anajua kumtakia kakake mema, mpaka ulipokuja kuharibu hapo mwishoni....... Ngastuka!!

Afu ushajua jinsia ya mtoa mada au nawewe unachechetuliwa na avatar? Stuka Mamndenyi...Think!!:A S-eek:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom