Fungasi za Juu ya unyayo wa Mguu

UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
3,442
5,386
Jamani nimekuwa naota Fangasi juu ya unyayo,vinaota vipele vidogo vinakuwa kama na maji ndani na baada
ya muda zinapasuka na kusambaa kwenye mguu.Nimejaribu kila aina ya dawa ya kupaka hata kuvaa viatu vya wazi
lakini bado vinakuja na kupona.Nimeenda kwa specialist mbalimbali wa magonjwa ya ngozi bado sipati nafuu.Please naomba ushauri wa kitaaluma
 
pole dada! Nystatin ni dawa kioko ya fungus. akikisha unvaa sandals sana kwani fungus huzaliana sana kama miguu hutokwa jasho kwa wingi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom