Search results

  1. B

    Jinsi ya kununua vitu eBay

    Habari wanajamvi. Napenda kujua ni jinsi gani naweza nunua vitu ebay maana nilijaribu kucheki nikaona kama hawa ship kuja huku. Nifanyaje,anyone with experience anisaidie plz. Thanks.
  2. B

    Quarry extraction partner

    Wadau tunatafuta mtu aliye tayari mwenye uwezo wa kuleta mashine kwa ajili ya kusaga kokoto. Tuna eneo kubwa sana lugoba na lina very high deposit content. Karibuni sana wadau. Any questin just ask.
  3. B

    We are looking for a partner who can bring quarry machine

    Any serious partner who can bring machine and other equipment for extraction of quarries is invited. Our site is located in lugoba area with a huge deposit content. Thank you.
  4. B

    Ma hr mpooo!!

    Habari za jioni wakuu, nna swali linanitatiza,sasa naomba wenye dhamana hii wajitokeze plz kunisaidia. Thanx.
  5. B

    Kuhama chuo kikuu master degree

    Hello brodaz and sisters, naombeni msaada wenu hivi inawezekana kuhama chuo kimoja na kuendelea na masomo chuo kingine? Sheria inaruhusu au? Mind you that hakuna change ya course na ni master level. Msaada plz.
  6. B

    Volunteering jobs

    WANA JF HABARI ZA MCHANA. JAMANI NAULIZA HIVI NI MAKAMPUNI GANI TOFAUTI NA UN AMBAYO YANATOA NAFASI ZA WATU KUJITOLEA ILI KUPATA UZOEFU? je pia kuna mabenki au taasisi za kifedha zina hizo nafasi.? any help plz...! thankz.
  7. B

    Kampala international university

    Jamani wakuu salaam, kun hiki chuo kinaitwa kampala int university kipo gongo la mboto,kinatoa mafunzo kuanzia ngazi ya certificate hadi masters. Mnakionaje? Nilifanikiwa kucheki timetale ya masters program, wana lecturer mmoja tu ambaye n doctor,waliosalia ni mr au ms. Hamna prof hata mmoja...
  8. B

    Lighondi where r u?

    Plz come in i need you here.
  9. B

    Je bila pesa au refa huwezi pata ajira?

    Wakuu salam, naombeni msaada wenu jamani hivi ni kweli bila kutoa pesa au kuwa na refa huwezi pata ajira?
  10. B

    Je ni kweli ajira ni za kugawana kindugu au kwa kutoa pesa?

    Jamani wakuu naomba kuuliza je ni kweli bila kutoa pesa au kuwa na mtu wa kukukingia kifua ni ngumu kuajiriwa?
  11. B

    Mnyika oyeee

    At last katangazw. Nilishindwa hata kula kwa kudhani watayachakachua. God is great all the time. Congs bro. Viva pipoz power
  12. B

    Elections 2010 Wameanza kuchakachua hapa

    Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.
  13. B

    Employment opportunity

    Jamani nimekuja hapa jamvini nahitaji msaada wa mawazo. nina BSc.Home Economics and HumanNutrition. nimehangaika kutafuta kazi bila mafanikio. ninajitahidi sana kutembelea website kama vile kazi999.com, naombakazi ila cjaona. najua humu ndani kuna watu wa fani mbalimbali,any help would be...
  14. B

    Mhhh!!! Kweli hatuna rais!!!!!!!!!

    Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing. yaani alikuwa anaongea as if yupo kwenye mipasho ya taarabu eti ANAPONDA UZINIFU NA UVUNJIFU WA AMRI YA SITA YA...
  15. B

    Tanzania tuige mfano wa chile

    Hatimaye all the miners have been rescued. ilikua kama vile action movie,ucku kucha nimeangalia. hawa jamaa wameni inspire sanaa kuanzia rais wao hadi waokoaji na watu wote kwa ujumla.sikuweza jizuia machozi. kitu kama hiki kingetokea hapa kwetu ni wazi kuwa kaburi lao lingekua ni hilo hilo...
  16. B

    Knock knock

    JAMANI wandugu nimewavamia nyumbani kwenu,naombeni mnipokee kwa mikono miwili.
Back
Top Bottom