Msijali wadau. Mchakato wa kupata wakandarasi kwa ajili ya vipande vyote vitatu vya barabara hii (Namtumbo to Kilimasera; Kilimasera to Matemanga; and Matemanga to Tunduru) unaendelea vizuri.
By January, if everything go well, kazi ya kuitengeneza itaendelea ili kuwaondolea adha watanzania wenzetu
siku hizi vijana wanafakamia misosi hovyo basi mivitambi hiiiiyo! Cheki washaji walivyo na miili mizuri. Kwa haraka haraka sijaona likitambi hata limoja
Usiwe na wasiwasi mkuu, kwa vyovyote atakuwa na wengine. Liweke hilo kichwani mwako na lisikuumize utakapowafahamu, mmoja baada ya mwingine. In most cases huwa iko hivyo. La mhuhimu wasiwe ni zaidi ya wanne!
Be careful, kama hamjapima usiwe unauza mechi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.